Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,316
- 871,876
- Thread starter
- #41
13K views · 154 reactions | Chawa wa ccm akiwa kazini | Mwarabu
Chawa wa ccm akiwa kazini
Kama ni kweli Recho kafariki ni aibu serikali ina mambo mengi ya kufanya sio kuangaika na wadangaji
Zamani viongozi walikuwa na wanauliza mambo yao kwa manabii au leo tunaweza kusema viongozi wa kiroho, hapa sizungumzii dini. Mambo haya yapo kiroho, ila njia zinazotumika sio sahihi, ila katika magumu kuna jambo linaenda kuzaliwa.
Si juzi tu alikuwa anasifia na kufika mbali zaidi kumfanya mtu kama malaika/MunguKuna Tito huko anatoa boko mbaya