Kadiri mnavyoteketeza watu makini ndivyo mnavyoibua machizi na vichaa

Kadiri mnavyoteketeza watu makini ndivyo mnavyoibua machizi na vichaa

Inadaiwa Dangwa amakutwa amekufa chumbani kwake. Na Japan si wa hivyo kwa kuchunguza. Haana utaalamu say kama Scotland Yard! Masikini binti wa watu!
Hadi sasa, hakuna taarifa rasmi thabiti kutoka mamlaka za serikali zilizothibitisha eneo halisi alipo au hali yake ya usalama.
 
Zamani viongozi walikuwa na wanauliza mambo yao kwa manabii au leo tunaweza kusema viongozi wa kiroho, hapa sizungumzii dini. Mambo haya yapo kiroho, ila njia zinazotumika sio sahihi, ila katika magumu kuna jambo linaenda kuzaliwa.
 
Sahihi;
 

Attachments

  • downloadfile(47).jpg
    downloadfile(47).jpg
    19.3 KB · Views: 8
Aisee ndio nabii Tito huyo, hatar sana

Ila comrade Nchimbi naamini kabisa yupo tofauti sana na namba moja,ni hivyo hana la kufanya
 
Back
Top Bottom