labda wasiojulikana wanawataka pia watu wa mapenzini na mpirani, maana hata huko kuna harakati za kisiasaKuna mtu mara nyingin yuko bize na story za mapenzi au mpira ila na yeye anawaogopa watu wasiojulikana
Kama yuko bongo anajidanganya, wakimtaka wanampata muda wowotekwani,
kwa mfano wewe gentleman,
unadhani haijulikani kua wewe ni nani ukiwa humu JF?š
si ndiyo hapo. Kama mtu unajijua unaipiga spana serikali na unataka kuwa anon kwanini utumie email ya ukweli?
Sema haiwezekani jf waka implement njia ya kusplit/strip io id mana ni hatari sana kwa ustawi wa member wa humu
Mkuu kwani kabla ya huyu mama kuingia madarakani ulikuwa unstumia utambulisho wako halisi?Yote haya kayataleta huyo bibi watu hatuna amani ndani ya Nchi yetu.
Wewe ni familia kabisa@ karibu kwetu makete nikupe mbao za kuezekea kama utaanza ujenziKuna kitu nadhani kimebadilishwa na google pamoja na mitandao ya kijamii ambacho kina expose identity ya watumiaji.
Zamani ilikuwa ukipost link ya youtube humu ndani, ukiifungua haitaonyesha youtube channel au ID ya yule aliyeshare link. Sasa hivi ni tofauti.
Sasa hivi ukishare link yoyote ya youtube, ukiifungua, hapohapo inakwambia na kukuonyesha youtube ID ya yule aliyeshare link. Watu wengi youtube ID zao ni majina yao halisi maana wameyalink na gmail account zao.
Matokeo yake ni kwamba ukishaexpose ID yako ya gmail kwa njia hiyo, watu wasiojulikana wanaweza kulink JF account yako na kukujua wewe ni nani iwapo ulishare link moja kwa moja ndani ya JF.
Nina mfano hai wa mtu alipost youtube link hapa wiki chache zilizopita, nilivyofungua ikaniambia jina lake na ni member wa muda mrefu humu ndani.
Unaanzaje kupost link humu? Mnajitakia ya kuwakutaAsante kwa tahadhari hii
Ndio nini?Kwani wewe shule ulienda kusomea uduwanzi?
Hapana ila hatukuwa na hofu namna hiiMkuu kwani kabla ya huyu mama kuingia madarakani ulikuwa unstumia utambulisho wako halisi?
š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£ bibi ni netanyau tuYote haya kayataleta huyo bibi watu hatuna amani ndani ya Nchi yetu.
Wewe unajulikana kuwa ni "mzoga wa nguruwe" aliyekuwa anafugwa na Samia. Ni nani atataka kujuwa zaidi ya hapo!kwani,
kwa mfano wewe gentleman,
unadhani haijulikani kua wewe ni nani ukiwa humu JF?š
Suluhisho si kuwaogopa. Ni kutafuta kila jitihada kuwaondoa usiendelee "kuogopa"JAmani naogopa kutekwa na kupelekwa ununio au mabwe pande mie
Nini ndiyo nini?Ndio nini?