GN No. 487A of 2025: Je, tunawalinda watanzania au tunahatarisha uwekezaji halali?

GN No. 487A of 2025: Je, tunawalinda watanzania au tunahatarisha uwekezaji halali?

Joined
Dec 18, 2023
Posts
73
Reaction score
20
Nimeandaa makala inayochambua utekelezaji wa Government Notice No. 487A of 2025, inayozuia wasio raia kufanya baadhi ya shughuli za biashara Tanzania.

Lengo la kuwalinda na kuwawezesha Watanzania kiuchumi ni muhimu. Lakini kuna swali linalohitaji mjadala; Nini kinatokea kwa kampuni zilizokuwa zimeanzishwa, zimepewa leseni, zimewekeza, zimeajiri Watanzania na zimekuwa zikifanya biashara kihalali kabla ya Order hii kuanza kutumika?

Makala inaangalia pia:

  • Changamoto za renewal ya leseni;
  • Athari kwa ajira, kodi na uwekezaji;
  • Hatari ya “51% Tanzanian ownership” ya kinadharia;
  • Athari za kupungua kwa ushindani kwa walaji;
  • Tofauti kati ya foreign investor na foreign street trader;
  • Na hatua ambazo Serikali inaweza kuchukua bila kuacha lengo la kuwawezesha Watanzania.
Hoja si kuiondoa Order. Hoja ni kuhakikisha utekelezaji wake haulengi kulinda Watanzania kwa gharama ya kuharibu uwekezaji halali na thamani ambayo tayari imejengwa ndani ya Tanzania.

Makala kamili nimeambatanisha hapa chini.
 

Attachments

Back
Top Bottom