Clayton Paul
JF-Expert Member
- Aug 22, 2022
- 2,284
- 4,858
Unaweza ukajihoji kuwa ulipoteza muda kupigania taaluma uliyonayo.
Vichwa vyenye rutuba inayoweza kustawisha Ujinga vinazidi kuongezeka.
Uongo unaweza kuwa moja ya bidhaa pendwa na muhimu kwa uhai wa serikali na viongozi feki.
Wanufaika wanapambana kwa kukaza hadi mishipa ya nyoro kama mnavyowaona humu jukwaani.
Sio bure wanaokota.