Hiyo akiba uliyo nayo inaweza kukulisha kwa muda gani ikitokea umepata anguko la kiuchumi?

Hiyo akiba uliyo nayo inaweza kukulisha kwa muda gani ikitokea umepata anguko la kiuchumi?

😅😅😅 kuna akiba za watu haziwafikishi jioni mkuu.

Watu wengi wanaishi muujiza life style.

Binafsi namaliza miaka mitatu ila pasipo kuwa na mambo mengi. Hiyo nalala nakula natoka out kidogo kula samaki ka whisky na kurudi homa, hii 3 inaenda
 
Back
Top Bottom