Ahahahahahaha.Chinja nguruwe Moja urost ule week mbili😁
AhahahahahahUza nguruwe wawili case over
madini kama haya hutawaona Tlaatlaah na Lucas Mwashambwa wanachangiaIkitokea umepata anguko la kiuchumi hio akiba uliyo nayo sasa itakulisha muda gani?
kuna raia hawatoboi week Moja.
Kama hayo ndio madini Basi wewe ni Mgonjwamadini kama haya hutawaona Tlaatlaah na Lucas Mwashambwa wanachangia
Wala husemi uongo. Hela hiyo ya kunifanya nisiteseke ninayo dakika yoyote ile nikitaka ila sasa sina akiba ndio maana naomba unikope buku jamaa angu, nikaleAu nasema uongo mkuu
Kibongo bongo sisi wachumia tumbo ,tunatafuta pesa ya kula leo tu ,ikitokea changamoto kinachotuokoa ni kuuza vitu vichache tulivyokusanya kama gari ,nyumba ,kiwanja au kama mfanyakazi utaenda kuchukua kapesa kako PSSSF/NSSF na kujikongoja.Ikitokea umepata anguko la kiuchumi hio akiba uliyo nayo sasa itakulisha muda gani?
kuna raia hawatoboi week Moja.
Huku niliko huo ni wali maharage au wali njegere unakula unashiba kabisaa na maji ya kunywa unapewa bure ya bombamsos Gani unauzwa buku mkuu,
Hiv utamfundisha mtu savings kweli kwa uzi tu???????Thread nzuri ambayo ingetoa somo la savings vs investing lakini as usual JF ya leo imejaa masihara na uzi umekuwa chit chat.
Unyama sana ila kwa sisi tulio single. Wewe unaoa, hutakiwi kula wali mabandani. Unanua mchele na maharage unapeleka nyumbaniAaah mbona unyama sana mkuu