Hiyo akiba uliyo nayo inaweza kukulisha kwa muda gani ikitokea umepata anguko la kiuchumi?

Hiyo akiba uliyo nayo inaweza kukulisha kwa muda gani ikitokea umepata anguko la kiuchumi?

Kiukweli wengi wetu tunaishi "hand to mouth" economy. Na hii ndio maana halisi ya 3rd world, majority ya wananchi ni masikini wasio na asset wala savings.
Ndio maana utakuta hata asilimia kubwa ya wafanyakazi mishahara haitoboi mwisho wa mwezi, na hapo hakuna anguko lolote ni matumizi tu ya kawaida.
Yeah,
ikifika tu tarehe 20 wanaanza milio mbn salary imechelewa

Means hawana saving kabisa
 
Ikitokea umepata anguko la kiuchumi hio akiba uliyo nayo sasa itakulisha muda gani?

kuna raia hawatoboi week Moja.
Wapo walioacha akiba za kutosha hata kuoa ukoo wenu wote(nawe ukiwemo)... lakini walilala mauti na kuziacha!

Ishi maisha yako,
Kuwa na akiba ya kutosha benki, sio guarantee ya kuiona kesho yako...bali ni uoga wa maisha!

kula maisha!... no one knows tomorrow
Hela zako ukila zitatumiwa hata na wanaomlala mkeo!
 
Wapo wa

Wapo walioacha akiba za kutosha hata kuoa ukoo wenu wote(nawe ukiwemo)... lakini walilala mauti na kuziacha!

Ishi maisha yako,
Kuwa na akiba ya kutosha benki, sio guaranteeya kuiona kesho yako...ni uoga wa maisha!

kula maisha!... no one knows tomorrow
Hela zako ukila zitatumiwa hata na wanaomlala mkeo!
Akili za mwafrica sishangai
 
Akili za mwafrica sishangai
Wala sio akili za muafrika, ndo maisha halisi.
Miaka ya nyuma niliishi kwa wasiwasi kama huu wenu, unawaza mambo ambayo hayatakuja kutokea:unawaza na kuogopa akiba, unawaza kuhusu afya, hivi nikiugua bima yangu ita cover etc.
Siku moja nilisafiri nikaenda kijijini kwetu huko, nikakuta watu wanaishi kwa amani, lkn hawana cha bima, hofu ya akiba n.k.Nilijifunza kutokuogopa sana kesho na kusahau kuishi sasa hivi.Tutafute akiba lkn tusitoane roho na kuishi kwa kihoro
 
Back
Top Bottom