Haya ndio mambo wachawi tunapenda kusikia😎Mimi hata ya kusurvive badae sina
Mnanichanganya ujue! Kwani akiba inaanzia shingapi🤔Kabla jogoo hajawika mara tatu akiba ishakata
Wiki? Kuna mtu hana akiba ya kesho.Ikitokea umepata anguko la kiuchumi hio akiba uliyo nayo sasa itakulisha muda gani?
kuna raia hawatoboi week Moja.
Ajira hakuna
😂😆Ya leo tu sielewi
Nikatafute kazi kwanzafanya saving sana
Kiukweli wengi wetu tunaishi "hand to mouth" economy. Na hii ndio maana halisi ya 3rd world, majority ya wananchi ni masikini wasio na asset wala savings.Hio ni hatari inaonyesha jinsi gani life liko tight