Je inaweza kuwa sahihi kumsomesha au kumsadia mtoto wa single mother

Je inaweza kuwa sahihi kumsomesha au kumsadia mtoto wa single mother

mwanyaluke

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2015
Posts
904
Reaction score
2,987
Katika ujana wangu huu ulio mwishoni very soon naenda hit 40, kwenye kupita huku na kule na nikiwa na uhitaji mkubwa wa kupata mtoto wangu wa tatu nilijikuta nimezaa na single mother flani mwanamke wa maana sana na kanizalia mtoto wa kiume.

Basi nimekuwa namhudumia yeye na mtoto wangu,miaka mitatu iliyopita tulikaa naye hapo mtoto yupo na miezi sifa ilibidi nimpange kuwa the moment mtoto akifika two years namchukua nikae nae, so long siishi na mwanamke basi utanipatia na huyo Ili niwe na vijana watatu Ikawa kama ameelewa kishingo upande akahoji kuhusu ndoa.

Mimi nilikuwa mkweli nikamwambia ukweli na kumbusha ahadi yangu kuwa once akizaa Kwa sababu yeye hayuko na mishe ya maana ntampatia mtaji, sikuwahi Wala kutaka kujadili naye stori za ndoa naye in detail.
nilimuahidi kumpatia mtaji nikawa nimempA assignment afikirie biashara ambayo haizidi ten million na iwe inaweza kuanza na mtaji wa milioni tatu.akaja na wazo la biashara ya urembo na vipodozi vya faida ndogo, basi tukawa tumemaliza, Sasa hapo kazaa mtoto Hakumbushi kuhusu mtaji wala nini basi nimekaa naye namkumbusha kumchumkua mtoto ,kwenda kwao kujitambulisha kama Mimi ndiye baba wa mtoto, nikaulizwa Ina maana hunioi.
Baada ya hapo tumekaa Mimi namhudumia yeye na mtoto , Cha ajabu anaomba pesa kw ajili ya mwanae ambaye baba yake yupo hai na yupo na ajira, sijawahi mweleza ukweli kuwa siwezi hudumia mtoto wa mwanaume mwenzangu Ili Hali yupo hai, kinachoniweka mtegoni kutokana na mishe mishe zangu muda mwingine kuwa nje ya nyumbani na hata mdogo wangu wa kike ambaye ana act as mlezi wa wanangu kuwa anabanwa na kazi , huyu mwanamke amekuwa akitumikA Sana kama msaidizi pale nyumbani Sasa najiuliza nimchane ukweli nahisi ntamumiza TU.nikimwacha ataenaendelea kunisumbua kuhusu mwanae.
 
ambayo atoa pesa kwrhatukuwahi jadili ndoa nawapenda watoto sio wanawake, ndio maana hata wengine naishi nao nimewachukua Kwa mama zao, a
Take it easy.

Saidi mtoto, hana hatia, Japo si mtoto wako. Ila haipaswi kuwa ni sharti la lazima kumsaidia.
 
Watu wenye watoto nawaona Jinsi mnavyovurugwa na wakati we live once. Maisha haya Bora usingle tu.
 
Unakaribia 40 na bado una utahira kiasi hiki. Kila siku tunaambiwa humu, tunasema humu, kila siku wanaume tunakumbushana humu kuhusu single mothers ila watu HAMUELEWI, akili hamna. Mnapagawa na sura na matako.

Mkuu, mbegu zako mwanaume ni nguvu zako, kuzaa hovyo ni kujitafutia stress huko mbeleni, kwa sasa unaona kawaida ila subiri muda ufike utajionea, hujawahi kufanya hata tafiti za wanaume wanaozaa hovyo ukaa nao kisha wakakuambia?

Sorry kwa maneno yangu kama yamekukera ila sina la kukushauri zaidi ya kuacha dunia ikufundishe kwa upumbavu huu ulijikusudia kabisa kuufanya.

Kila siku humu ndani single mother single motherrrr
 
unavyompenda single maza sana sana ujue umempenda na mtoto wake tofauti na hapo utaonekana una roho mbaya.
Alafu wanaume maisha ya sasa hivi yamepanda unaweza kuta hata huyo baba anahudumia ila hela haitoshi..
we hudumia tu
 
Unakaribia 40 na bado una utahira kiasi hiki. Kila siku tunaambiwa humu, tunasema humu, kila siku wanaume tunakumbushana humu kuhusu single mothers ila watu HAMUELEWI, akili hamna. Mnapagawa na sura na matako.

Mkuu, mbegu zako mwanaume ni nguvu zako, kuzaa hovyo ni kujitafutia stress huko mbeleni, kwa sasa unaona kawaida ila subiri muda ufike utajionea, hujawahi kufanya hata tafiti za wanaume wanaozaa hovyo ukaa nao kisha wakakuambia?

Sorry kwa maneno yangu kama yamekukera ila sina la kukushauri zaidi ya kuacha dunia ikufundishe kwa upumbavu huu ulijikusudia kabisa kuufanya.

Kila siku humu ndani single mother single motherrrr
Ha ha najua single mother ni single mother ndiyo maana sijamuoa aisee,sijazaa hovyo watoto watat nawamudu
 
Ukisoma majibu ya sisi wanaume kuhusu ma single mother inashangaza sana…………Ni as if walipewa mimba na majini kwa kujitakia na sio sisi wanaume tuliowapa hizo mimba
jamani hiyo ni baioloji kwamba mwanamke ndio anabeba mimba lakini kila mtu hapa anatœmba tena sana tu kabla ya ndoa

Ndio maana hawa masingle mother wakija kujipata kwa kipato huyo mwanaume atakaye mpenda kazi anayo
 
Tatizo ni kwamba, unampambania mtoto wa single mother, unampa kila malez anayostahil mtoto, unamsomesha, akikua akafanikiwa hakukumbuk tena, anarud kwa baba yake!
Single mother hana shukran anachojal yeye maisha yake yaende!

NOTE; Kama unampenda sana do everything as your own lisk
 
Kimsinginkwa tafiti ndogo isio rasmi, kwasasa single mazas ni kama maji tu. Usipoyanywa, utayanaya, usipopikia utayaoga, usipofulia utayadekia nyumba tu. Yan huweziii kuwakwepa.
Nafikiri kwa wanaume tuji tune tu namna ya ku mingle nao in a safe way
 
Back
Top Bottom