Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,771
- 10,311
Akikuomba hela mwambie pesaziko benki. Akupe kwa mkopo.
Acha hasira Pesa ziko benki.Ujinga tu
Ameomba nimuoneshe kadi ya kupasulia ukuta nami sina.Nifanyeje?Acha hasira Pesa ziko benki.
Mwambie pesa iko benkiAmeomba nimuoneshe kadi ya kupasulia ukuta nami sina.Nifanyeje?
Hiyo benki haitumii kadi?Hanielewi.Amesema neno langu siyo katiba.Mwambie pesa iko benki
Mbona Mo hajaonesha kadi mkuuHiyo benki haitumii kadi?Hanielewi.Amesema neno langu siyo katiba.
Na ukiwa na wa Yanga je ???