NMB BENKI wanakunyima huduma hata kuangalia salio wanakataa

NMB BENKI wanakunyima huduma hata kuangalia salio wanakataa

Sigonella Island

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
13,484
Reaction score
40,858
NMB imekua na ujinga mwingi umeweka pesa kwenye akaunti unafanya manunuzi unataka kulipa kupitia NMB BENKI wanakunyima huduma hata kuangalia salio wanakataa yaani mabenk ya Serikali yameambukizana ujinga.
 
Back
Top Bottom