NMB Bank Nepal is a commercial bank in Nepal with headquarters in Kathmandu. The bank is licensed by central bank of Nepal, the Nepal Rastra Bank and has 163 branches across the nation providing retail and commercial banking services.
Recently, it acquired Om Development Bank.
The bank's shares are publicly traded in the Nepal Stock Exchange. The Bank has a joint venture agreement with Netherlands Development Finance Company (FMO) a Dutch development bank which holds 17% of the bank's shares and is the largest shareholder of the Bank.
Leo 27-10-2026 hisa za NMB zimeshuka mpaka 1,870 , je sisi tulionunua kwa Tshs 2100 baada ya kusikiliza influensa tuziuze saa hii kukwepa hasara zaidi?
Wakala wa NMB hapa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) ameninyima huduma kwa sababu sina kadi ya NMB ya chuo. Je, ni sheria gani ya nchi inayosema kwamba ni lazima mtu awe na kadi ya NMB ya chuo ndipo aweze kupata huduma za kifedha na kusikilizwa ipasavyo?
Leo, mawakala wa NMB waliokuja kutoa huduma...
NMB KUNA CHANGAMOTO ZA KUKATA PESA ZA WATEJA BILA TAARIFA WAMEKATA KIASI CHA 180K BILA TAARIFA KAMILI
Balansi yangu ilikuwa Shilingi 720,000 lakini asubuhi yake nilipocheki ili niweze kutoa nikakuta salio linasoma Sh 540,000 na hakuna muamala wowote niliofanya, nikawapigia simu, wanasema...
Nimekuwa nikitumia NMB Mkononi kwenye simu yangu ya zamani. Kwa bahati mbaya, simu hiyo iliharibika. Baada ya kupata simu mpya, nime-install NMB Mkononi na kujaribu kuingia kwenye akaunti yangu, lakini nimekuwa nikishindwa.
Nimekuwa nikijaribu kwa takribani miezi mitatu, lakini bado...
Kumekuwa na utaratibu wa baadhi ya wafanyabiashara, hususan wamiliki wa vituo vya mafuta na hata baadhi ya taasisi za kifedha, kukataa kupokea noti ambazo zimeunganishwa au kutengenezwa kwa kutumia 'seal tape'.
Nilishuhudia tukio katika Tawi la NMB Babati, ambapo mteja mmoja, ambaye alikuwa...
NMB imekua na ujinga mwingi umeweka pesa kwenye akaunti unafanya manunuzi unataka kulipa kupitia NMB BENKI wanakunyima huduma hata kuangalia salio wanakataa yaani mabenk ya Serikali yameambukizana ujinga.
Habari wakuu,
Kuna windfall nilipata sehemu fulani, nikapiga mshindo wa 75m. Nimeamua kujilipua na kununua hisa za NMB za 70m kwa bei mpya ya leo baada ya split ambayo NMB walifanya, nimenunua kwa Tshs 1,850.
Wacha tuone, liwalo na liwe tu!
Malengo yangu ni long game. Naangalia kuanzia miaka 5...
Kuna changamoto upande wa NMB Bank, nimekumbana na changamoto ambayo hadi sasa haijapatiwa suluhisho. Juzikati nilituma fedha kwenda kwenye akaunti nyingine, zikaonekana zimekatwa kwenye akaunti yangu, lakini hadi siku ya tatu, mlengwa hajazipokea.
Nilipojaribu kuwasiliana na NMB kupitia DM...
NMB please msiniingize majaribuni na sina tamaa kwa pesa ambayo siyo haki nayo na jasho langu, kuweni makini mtakuja kukosea kwa vishoka hatimaye kiwe kilio kwenu. Jana (Agosti 7, 2026) mmenitumia TZS 10,024,061,002,406 = Shilingi trilioni 10.024 (takribani) na sikutoa hata mia ndani ya dakika...
Wakuu habari za jioni hii
Huduma za kifedha za NMB hazipatikani kwasababu ya shida ya mtandao, hii ni kero sana haswa kwa sisi wajasiriamali ambao tunadeposit pesa kila siku kwaajili ya biashara.
Habari,
Inaenda wiki sasa huduma za miamala bado hazijatengamaa kwenye swala la kutuma na kupokea hela, unaeza ukatuma hela ikaishia hewani, unaeza ukatumiwa hela ikaishia hewani.
Wengine ATM zina shida, mwingine hawezi lipia control number, wafanyabiashara wengine wanashindwa lipa suppliers...
Hawa jamaa leo wameniathiri vibaya kwa kukoso huduma fulani katika benki yao kutokana na mtandao wao kuwa down.
Nimepoteza hela na nimeopoteza fursa.
Inakera sana!
Wana JF nani anajua Jumatatu ya hawa jamaa wa NMB itakuwa lini?
Kwenye calender ya Gregoly, waliyotwambia ndiyo leo kakini mambo ndiyo bado magumu kabisa hata hizo sijui POS nazo hakuna kitu asubuhi hata ATM zao zililinuna kabisa duuuhhh.
Sasa hivi huwezi kutuma hela za Tonetone kupitia NMB. Ukituma hela haiendi. Ni mpango wa kukwamisha CHADEMA isifikie lengo la Milioni 334. Je, na Vodacom watagoma kutumia huduma yao?
Binafsi taarifa yao nimeiona jana baada ya kushindwa kukamilisha miamala. Kwa ukubwa wao haya ni mateso kwa wateja.
Leo huduma na kazi nyingi zinazohusisha malipo NMB zimekwama. Kwanini hayo matengenezo wasingeyafanya siku moja au wangefanya usiku?
Washaifanya wikiendi iwe chungu
Wana JF nani anjua kinacho wasibu NMB maana wanasababisha tudhalilike kwa kushindwa kutumia hela zetu.
Ushauri nihamie bank gani ambayo app yake iko online 24x7 naona NMB wanaweza wakapotezwa hata mtaji wangu.
Hii ni bondi (hati fungani) ya kwanza kabisa ya Shilingi ya Tanzania kutolewa kwenye soko la hisa la kimataifa. Lakini hii si bondi ya kwanza ya IFC (IFC ni miongoni mwa taasisi za kifedha zilizo chini ya benki ya dunia (World Bank) ya sarafu ya ndani.
Haya ndiyo unayopaswa kujua kuhusu hili;
1...
Tokea siku ya juzi kuna changamoto kwenye app yenu ya NMB mkononi, kutoa pesa ni shida na nimekuta nimeandikiwa deni ndani ya account yangu yaani (-Kisha kiasi ninachodaiwa) jambo ambalo sijawahi kuliona hapo kabla.
Nimetuma pesa juzi na imerudishwa jana ila nikitaka kununua umeme pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.