I am All In..! Liwalo na liwe, nimewekeza Tshs 70m leo na kununua hisa za NMB soko la hisa la Dar es salaam, let's see

TheCrocodile

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2021
Posts
1,864
Reaction score
5,254
Habari wakuu,

Kuna windfall nilipata sehemu fulani, nikapiga mshindo wa 75m. Nimeamua kujilipua na kununua hisa za NMB za 70m kwa bei mpya ya leo baada ya split ambayo NMB walifanya, nimenunua kwa Tshs 1,850.
Wacha tuone, liwalo na liwe tu!

Malengo yangu ni long game. Naangalia kuanzia miaka 5 kwenda mbele, na sina mpango wa kuziuza in the next 5 years hata iweje.

Let's watch and see.
 
Usingetaja amount ungekufa?
 
Naomba nikuulize
1. Kwa hio 70m unapata shares ngapi?
2. Gawio kwa mwaka ni sh ngapi kwa kila share?
 
Usingetaja amount ungekufa?
Kwa nini unaona tabu akitaja amount mkuu?

Pengine amount inahitajika kutajwa ili watu waone level ya risk aliyochukua.

Na ikifika miaka mitano baadaye tuweze kurudi hapa kupiga hesabu kaongeza au kapunguza ngapi kutokana na soko lilivyoenda.

Wengine waweze kujifunza kutokana na actual amount.

Akitaja amount unakuwa na tatizo gani?
 
Leo share za Nmb ni 1700
Habari wakuu,

Kuna windfall nilipata sehemu fulani, nikapiga mshindo wa 75m. Nimeamua kujilipua na kununua hisa za NMB za 70m kwa bei mpya ya leo baada ya split ambayo NMB walifanya, nimenunua kwa Tshs 1,850.
Wacha tuone, liwalo na liwe tu!

Malengo yangu ni long game. Naangalia kuanzia miaka 5 kwenda mbele, na sina mpango wa kuziuza in the next 5 years hata iweje.

Let's watch and see.
Kwahio kwa hizi siku chache tu kashapoteza kama tsh 100 kwa kila share?
 
Back
Top Bottom