I am All In..! Liwalo na liwe, nimewekeza Tshs 70m leo na kununua hisa za NMB soko la hisa la Dar es salaam, let's see

Huko UTT ndo nilianza nako mkuu, 2 years ago. Portfolio yangu huko hadi sasa ina 50m+ spread in Jikimu & Liquid funds. So, nilipopata hii windfall ya ghafla (sikua naitegemea), na ikawa imeendana na hiyo share split ya NMB nikasema ni diversify uwekezaji wangu, ni venture huko kwenye hisa pia (sijawahi kununua hisa before, never).
Cc BEZO JR
 
Habari wakuu,

Kuna windfall nilipata sehemu fulani, nikapiga mshindo wa 75m. Nimeamua kujilipua na kununua hisa za NMB za 70m kwa bei mpya ya leo baada ya split ambayo NMB walifanya, nimenunua kwa Tshs 1,850.
Wacha tuone, liwalo na liwe tu!

Malengo yangu ni long game. Naangalia kuanzia miaka 5 kwenda mbele, na sina mpango wa kuziuza in the next 5 years hata iweje.

Let's watch and see.
mzee ungejiongeza kidoogo ukaenda hapo Nairobi mdan ya miaka 5 ingekuwa history
 
K
Huko UTT ndo nilianza nako mkuu, 2 years ago. Portfolio yangu huko hadi sasa ina 50m+ spread in Jikimu & Liquid funds. So, nilipopata hii windfall ya ghafla (sikua naitegemea), na ikawa imeendana na hiyo share split ya NMB nikasema ni diversify uwekezaji wangu, ni venture huko kwenye hisa pia (sijawahi kununua hisa before, never).
Kwa nini ukaona ununue hisa badala ya kuwekeza UTT?
 
Hebu nipe info zaidi mkuu. Unamaanisha ningezitupia soko la hisa la Kenya?
mkuu katika eneo la afrika mashariki na kati. ni kenya pekee uchumi unaamuliwa na soko na sio siasa. kuanzia mahakama katiba na sera zao zinavutia wawekezaji wakubwa dunian wa kweli acha hawa wapiga dili wanaojiita wawekezaji. na ukifuatilia soko la hisa la Nairobi utagudua lina wateja wengi sana kutoka ulimwengu unaoibukia wa hela. mimi nilifanikiwa kununua hisa miaka ya 2007, nakushaur na wengine mkipata muwe mnaenda na kule dunia ishakuwa kijiji mzee. achana na kuhatarisha hela yako sehem ambayo akiingia rais mpya anaweza kufanya lolote kubadili chochote na bila mtu yeyote kuhoji. sasa hiv bongo Mama kawapa nafasi kubwa sana wafanyabiashara lakin hujui ajae atakuwaje.
 
K

Kwa nini ukaona ununue hisa badala ya kuwekeza UTT?
Nilitaka tu ku diversify uwekezaji wangu mkuu.....! Ile concept ya kutoweka mayai yote kwenye kapu moja, hivyo nikaona nitupie huko DSE badala ya kuongeza UTT zaidi. Hiyo ndio sababu pekee. Ila so far, return niliyopata UTT ni vey lucrative kwa kweli, no complains....!
 
mkuu katika eneo la afrika mashariki na kati. ni kenya pekee uchumi unaamuliwa na soko na sio siasa. kuanzia mahakama katiba na sera zao zinavutia wawekezaji wakubwa dunian wa kweli acha hawa wapiga dili wanaojiita wawekezaji. na ukifuatilia soko la hisa la Nairobi utagudua lina wateja wengi sana kutoka ulimwengu unaoibukia wa hela. mimi nilifanikiwa kununua hisa miaka ya 2007, nakushaur na wengine mkipata muwe mnaenda na kule dunia ishakuwa kijiji mzee. achana na kuhatarisha hela yako sehem ambayo akiingia rais mpya anaweza kufanya lolote kubadili chochote na bila mtu yeyote kuhoji. sasa hiv bongo Mama kawapa nafasi kubwa sana wafanyabiashara lakin hujui ajae atakuwaje.
Aisee umeongea ishu ya maana sana kiukwel, una points ambazo ni valid asilimia 100. Niwe mkweli, sijawahi fuatilia hilo soko la Kenya, wacha nita research zaidi nipate taarifa zaidi. Shukurani sana, hii imenifungua macho, hakuna cha uongo hapo ulichoongea kuhusu mazingira ya nchi yetu, hiyo risk uliyoitaja is REAL kabisa.
Halafu Septemba nina safari ya Nairobi, nitaongeza ratiba ya kutembelea ofisi za NSE.
 
Attachments

  • IMG_6834.jpeg
    IMG_6834.jpeg
    243.1 KB · Views: 15
Back
Top Bottom