Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 6,788
- 16,227
taaasipotaUmemind mkuu? Pole sana kwa frustrations.
taaasipotaUmemind mkuu? Pole sana kwa frustrations.
Uko sahihi pia mkuu.Mil 70 kwenye soko la hisa!?
Ni sawa na kibamia kwenye Bwawa la Mshangazi!
Ni kupoteza muda, na uoga wa ku-risk...
Kuna investment unawezafanya na hiyo hela hasa migodini...baada ya six months tu mil 70 inafika mil. 100
bravo,good boyMaandishi yako yanaonyesha tu mkuu.
Chillax man, easy.bravo,good boy
KAZI kwenu mnaotafuta sponsor. Mwamba huyo hapo jazeni pm.Habari wakuu,
Kuna windfall nilipata sehemu fulani, nikapiga mshindo wa 75m. Nimeamua kujilipua na kununua hisa za NMB za 70m kwa bei mpya ya leo baada ya split ambayo NMB walifanya, nimenunua kwa Tshs 1,850.
Wacha tuone, liwalo na liwe tu!
Malengo yangu ni long game. Naangalia kuanzia miaka 5 kwenda mbele, na sina mpango wa kuziuza in the next 5 years hata iweje.
Let's watch and see.
Na PM nimefunga. Hata hivyo, wangejazaje sasa na pesa yote nishaifungia mzee?KAZI kwenu mnaotafuta sponsor. Mwamba huyo hapo jazeni pm.
Kazi ipo.Mmmmhmn kwamba mtu ana biashara anaweka pesa kwenye hisa anazifungamanisha huko? Hapana sidhani. Huyu mleta uzi hiyo ndio njia yake ya uwekezaji. Ni dhahiri hana mbinu za kibiashara.
Hii story ya uongo banaKanunua 1800 na wewe umesema bei ya leo ni 1,700 hapo zimepanda au zimeshuka?
Shares zina tabia ya kushuka na kama kampuni ikipata hasara na wewe umepata hasara.Nilifanya zamani sana kipindi hicho yapo makampuni kama DAHACO nk, broker wangu akanishauri niwekeze wapi na kweli niliwekeza na quarterly dividend nikawa napata hadi nilipoamua kuuza shares zangu kwa faida na kwenda kusoma.
Nimeuliza kwa sababu naona bonds zina low risks kuliko shares, nilitaka kupata uzoefu wake.
Safi sana mkuu. Kuna jamaa alinipa somo kama unataka kuweka million 100, usiweke yote pamoja. Igawanye kwenye mafungu mfano kama 10. Halafu kila mwezi unatupia hiyo. Kuna batches zitakuokoa na kushuka. Nilijaribu mwaka jana na ni kweli kabisa mwisho wa mwaka nilikuwa on positive end.Habari wakuu,
Kuna windfall nilipata sehemu fulani, nikapiga mshindo wa 75m. Nimeamua kujilipua na kununua hisa za NMB za 70m kwa bei mpya ya leo baada ya split ambayo NMB walifanya, nimenunua kwa Tshs 1,850.
Wacha tuone, liwalo na liwe tu!
Malengo yangu ni long game. Naangalia kuanzia miaka 5 kwenda mbele, na sina mpango wa kuziuza in the next 5 years hata iweje.
Let's watch and see.
Kwa kweli, sisi tulioko kwenye pension hatutaki stress, ngoja mafao yetu yaishie kwenye bonds na kula minofu🤪Shares zina tabia ya kushuka na kama kampuni ikipata hasara na wewe umepata hasara.
Tofauti na bonds zenyewe unahesabu faida, wapate faida au hasara pesa yako iko pale pale na faida ya uwekezaji wako ni aslimia zile zile mlizokubaliana..!!
Huku kwenye hisa inahitaji uwekezaji wa muda mrefu na risks ni nyingi.
Kwa umri wako kama unavyosema humu sikushauri kununua hisa risks ni nyingi utapoteza pesa.
Sasa kwa umri huo upoteze mfano million 20 utapata usingizi kweli? Si utashtua sukari 😹
Sisi tukipoteza umri unaturuhusu kurudi kutafuta zingine..
Kuna mwalimu alikopa pesa akawekeza kwenye hisa, hajamaliza hata miezi miwili hisa za mwalimu zimeshuka kapata hasara anataka kujinyonga..!! 😹
Huku ni kutakatisha fedha. Una biashara gani upate 75m ghafla?Habari wakuu,