Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 43,349
- 104,110
Vipi sasa nikutumie control namba? 😜Nimekubali 🙌 😄
Hisa 100 tu hata sio nyingi darling 😘
Vipi sasa nikutumie control namba? 😜Nimekubali 🙌 😄
Oh sawa maana lilifungwa na 17k 👍Umeona soko limefunguliwa kwa 1850 na limefungwa kwa 1850
Na kitu basi rafiki zangu ndio nawasikia wanapiga hizi stori 😄Vipi sasa nikutumie control namba? 😜
Hisa 100 tu hata sio nyingi darling 😘
Nimekuelezea huko juu labda kama hujanielewa..!!Oh sawa maana nililifungwa na 17k 👍
Okay, kwa mtu mwenye uzoefu kama wewe hivi, unamshaurije mwekezaji wa mara ya kwanza, kwa maana ya options hizi mbili za hisa za makampuni vs bonds kama huko UTT?Nilitaka tu ku diversify uwekezaji wangu mkuu.....! Ile concept ya kutoweka mayai yote kwenye kapu moja, hivyo nikaona nitupie huko DSE badala ya kuongeza UTT zaidi. Hiyo ndio sababu pekee. Ila so far, return niliyopata UTT ni vey lucrative kwa kweli, no complains....!
😹😹😹 Umeanza visingizio raraaNa kitu basi rafiki zangu ndio nawasikia wanapiga hizi stori 😄
Yap binafsi nilipiga hesabu hizo maana soko lilifungwa na 17kNimekuelezea huko juu labda kama hujanielewa..!!
Hizo 17k ambayo hisa 1 baada ya split inahesabiwa kwa hisa 10 ndiomana ukapata 1700 😹😹
Wengi walijua itakuwa 1700 sababu ilifungwa kwa hiyo bei..
Kama una roho nyepesi usiingie kwenye hisa utalia 😹😹😹Okay, kwa mtu mwenye uzoefu kama wewe hivi, unamshaurije mwekezaji wa mara ya kwanza, kwa maana ya options hizi mbili za hisa za makampuni vs bonds kama huko UTT?
Alafu unajua nikianza kukumbuka mikato yako ile naanza kuwaza mambo mengi sana 😄😹😹😹 Umeanza visingizio raraa
Then Get the f*ck out of hereI dont care, its not for you
Una frustrations sana mkuu. No one is responsible for your misery.Then Get the f*ck out of here
Umeanza 😹😹Alafu unajua nikianza kukumbuka mikato yako ile naanza kuwaza mambo mengi sana 😄
Nilifanya zamani sana kipindi hicho yapo makampuni kama DAHACO nk, broker wangu akanishauri niwekeze wapi na kweli niliwekeza na quarterly dividend nikawa napata hadi nilipoamua kuuza shares zangu kwa faida na kwenda kusoma.Kama una roho nyepesi usiingie kwenye hisa utalia 😹😹😹
Endelea kununua bonds za UTT umalizie uzee wako salama..!!
Kwa mimi ningesema mtu aanze na UTT, apate kwanza ka uzoefu huku akiendelea kupata elimu na kujifunza kuhusu hisa, halafu baada ya muda ndo aingie kwenye hisa (ila kidogo kidogo, sio kama hivi nilivyofanya mimi). Bonds kwa binafsi yangu I am not a fan of bonds kabisa. Hiyo ni preference yangu binafsi.Okay, kwa mtu mwenye uzoefu kama wewe hivi, unamshaurije mwekezaji wa mara ya kwanza, kwa maana ya options hizi mbili za hisa za makampuni vs bonds kama huko UTT?
How do you know about thatUna frustrations sana mkuu. No one is responsible for your misery.
Maandishi yako yanaonyesha tu mkuu.How do you know about that
atakuwa muhaya huyu😂😂😂😂Usingetaja amount ungekufa?
Risks pia zinakuwa juu mkuu!Mil 70 kwenye soko la hisa!?
Ni sawa na kibamia kwenye Bwawa la Mshangazi!
Ni kupoteza muda, na uoga wa ku-risk...
Kuna investment unawezafanya na hiyo hela hasa migodini...baada ya six months tu mil 70 inafika mil. 100