I am All In..! Liwalo na liwe, nimewekeza Tshs 70m leo na kununua hisa za NMB soko la hisa la Dar es salaam, let's see

I am All In..! Liwalo na liwe, nimewekeza Tshs 70m leo na kununua hisa za NMB soko la hisa la Dar es salaam, let's see

Kwa nini unaona tabu akitaja amount mkuu?

Pengine amount inahitajika kutajwa ili watu waone level ya risk aliyochukua.

Na ikifika miaka mitano baadaye tuweze kurudi hapa kupiga hesabu kaongeza au kapunguza ngapi kutokana na soko lilivyoenda.

Wengine eaweze kujifunza kutokana na actual amount.

Akitaja amount unakuwa na tatizo gani?
Watu wanaleta frustrations zao humu jukwaani mkuu.
 
Kwahio kwa hizi siku chache tu kashapoteza kama tsh 100 kwa kila share?
Lakini kasema ana lengo la kuwekeza kwa muda mrefu, yeye si day trader.

Hisa zinapopanda katika hesabu za muda mrefu, huwa hazipandi moja kwa moja. Zinafanya zigzag kupanda na kushuka, lakini hii daily zigzag si muhimu, muhimu ni ile genetal trend ya muda mrefu.

So, unless general trend ya miaka mitano inaonesha kushuka, hii daily fluctuation si muhimu sana.
 
Wengine washafanyqbiashara hio 70m ni ziada tu imezagaazagaa hivyo wanaamua kuwekeza sehemu badala ya kununua Harrier Anaconda kama vijana wa kariakoo.
Mmmmhmn kwamba mtu ana biashara anaweka pesa kwenye hisa anazifungamanisha huko? Hapana sidhani. Huyu mleta uzi hiyo ndio njia yake ya uwekezaji. Ni dhahiri hana mbinu za kibiashara.
 
Mmmmhmn kwamba mtu ana biashara anaweka pesa kwenye hisa anazifungamanisha huko? Hapana sidhani. Huyu mleta uzi hiyo ndio njia yake ya uwekezaji. Ni dhahiri hana mbinu za kibiashara.
Mbona wafanyabiashara wakubwa hapa bongo wame invest billions huko DSE mkuu, achilia mbali milioni 70?
 
Habari wakuu,

Kuna windfall nilipata sehemu fulani, nikapiga mshindo wa 75m. Nimeamua kujilipua na kununua hisa za NMB za 70m kwa bei mpya ya leo baada ya split ambayo NMB walifanya, nimenunua kwa Tshs 1,850.
Wacha tuone, liwalo na liwe tu!

Malengo yangu ni long game. Naangalia kuanzia miaka 5 kwenda mbele, na sina mpango wa kuziuza in the next 5 years hata iweje.

Let's watch and see.
Hiyo pesa ungeweka UTT ukwasi(Liquid fund).Mbona ungekuwa mbali sana kwa hiyo miaka mitano.

Huko ukwasi hela inakuwa ikijicompound huna shida ya kuwaza kupanda ama kushuka kama huko kwenye HISA.Wao wanawekeza kwenye HATI FUNGANI NA BONDI ZA SERIKALI.

Na kwenye UTT hela yako ukihitaji unaipata ndani ya siku 3 za kazi.

Ndani ya miaka mitano ungekuwa na hiki kiasi bila kelele TSH 123,363,917.82

A gain of TSH 53,363,917.82 bila stress zozote!!!
 
Hiyo pesa ungeweka UTT ukwasi(Liquid fund).Mbona ungekuwa mbali sana kwa hiyo miaka mitano.

Huko ulwasi hela inakuwa ikijicompound huna shida ya kuwaza kama huko kwenye HISA.

Na kwenye UTT hela yako ukihitaji unaipata ndani ya siku 3 za kazi.
Huko UTT ndo nilianza nako mkuu, 2 years ago. Portfolio yangu huko hadi sasa ina 50m+ spread in Jikimu & Liquid funds. So, nilipopata hii windfall ya ghafla (sikua naitegemea), na ikawa imeendana na hiyo share split ya NMB nikasema ni diversify uwekezaji wangu, ni venture huko kwenye hisa pia (sijawahi kununua hisa before, never).
 
Back
Top Bottom