KERO NMB mmeshindwa ku-handle mfumo wenu, kila siku changamoto, hadi lini hii kero?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
NMB KUNA CHANGAMOTO ZA KUKATA PESA ZA WATEJA BILA TAARIFA WAMEKATA KIASI CHA 180K BILA TAARIFA KAMILI

Balansi yangu ilikuwa Shilingi 720,000 lakini asubuhi yake nilipocheki ili niweze kutoa nikakuta salio linasoma Sh 540,000 na hakuna muamala wowote niliofanya, nikawapigia simu, wanasema niangalie balance tena baada ya nusu saa.

Nikafanya hivyo still salio liko vilevile .... Nikiangalia kwenye NMB mkononi salio halisi ni Sh 720,000 salio lililopo ni Sh 540000k na siko pekee yangu ukajaribu kucheki kwenye page yao ya Instagram utabaini watu kadhaa wakilalamikia tatizo hili.

Baada ya siku mbili fedha zangu zikarejea, nilipowauliza wakadai kulikuwa na changamoto ya kimfumo.

Yaani tangu wafanye maboresho yao kumekuwa na changamoto sana, hii hali NMB itaendelea hadi lini?
 
Si muende crdb hiyo nmb ni ya mataikuni wa ccm.
 
Nina business account na wao sasa ukitaka kufanya online transaction wanatakiwa watume code Ile ya papo kwa papo ili uweze Ku log in kwenye internet banking basi nilihangaika wiki Nzima hola last week nikaenda kusomba vijisenti vyangu nikabaki na mwamba WA kijani basi
 
NMB KUNA CHANGAMOTO ZA KUKATA PESA ZA WATEJA BILA TAARIFA WAMEKATA KIASI CHA 180K BILA TAARIFA KAMILI

Balansi yangu ilikuwa Shilingi 720,000 lakini asubuhi yake nilipocheki ili niweze kutoa nikakuta salio linasoma Sh 540,000 na hakuna muamala wowote niliofanya, nikawapigia simu, wanasema niangalie balance tena baada ya nusu saa.

Nikafanya hivyo still salio liko vilevile .... Nikiangalia kwenye NMB mkononi salio halisi ni Sh 720,000 salio lililopo ni Sh 540000k na siko pekee yangu ukajaribu kucheki kwenye page yao ya Instagram utabaini watu kadhaa wakilalamikia tatizo hili.

Baada ya siku mbili fedha zangu zikarejea, nilipowauliza wakadai kulikuwa na changamoto ya kimfumo.

Yaani tangu wafanye maboresho yao kumekuwa na changamoto sana, hii hali NMB itaendelea hadi lini?
Ila ni bonge la bank. Nina account yao sijawahi jutia
 
Oyaa pole sana, ila Mimi nawakubali sana maana hua napata mshiko faster
 
Hii benki kuna mda hata mi sielewi kabis naon kam wezi wanakat hela hovyo hovyo sijui kwann mi kuna siku nimetuma hela wamefyeka yote sahizi nimeipaki kadi yao
 
Back
Top Bottom