Wiki nzima NMB, ATM na NMB Mkononi hazifanyi kazi

Baadhi ya ATMs (za kisasa) unaweza kutumia fingerprints but along with card.
Why along with card??
Ni Bora nitumie card tu badala ya vyote viwili, kuruhusu kutumia fingerprints tu ni kuondokana na usumbufu kadi imepotea au umeisahau mahali, sasa kama inahitajika kadi na fingerprints hakuna maana yoyote Ile.
 
Security measures za banks ni 2-factor authentication ambayo unatakiwa kutimiza vigezo viwili; WHAT YOU HAVE and either WHAT YOU KNOW or WHAT YOU ARE.

WHAT YOU HAVE: card, phone, or some other recognized physical thing

WHAT YOU KNOW: usually password, code, OTP, etc.

WHAT YOU ARE: your body's unique features like fingerprints, etc.

So, WHAT YOU HAVE is a must then combine with any of the other two. Haya mambo yamefanyiwa tafiti wakaja na the best viable solution wakati sisi tunaongea kihisia zaidi - "ingekuwa" aka wishes!
 
Security measures za banks ni 2-factor authentication ambayo inakuta unatakiwa kutimiza vigezo viwili; WHAT YOU HAVE and either WHAT YOU KNOW or WHAT YOU ARE.

WHAT YOU HAVE: card, phone, or some other recognized physical thing

WHAT YOU KNOW: usually password, code, OTP, etc.

WHAT YOU ARE: your body's unique features like fingerprints, etc.

So, WHAT YOU HAVE is a must then combine with any of the other two. Haya mambo yamefanyiwa tafiti wakaja na the best viable solution wakati sisi tunaongea kihisia zaidi - "ingekuwa" aka wishes!
Pesa tunayotoa ATM ni ndogo sana kuhitaji mlolongo wote huu wa kupoteza muda tu, na pia ATMs zina CCTV camera.
 
Wewe unaongelea kipindi hiki cha crisis ya siku mbili tatu wakati mleta mada anaongelea katika hali ya kawaida.
Hali ya kawaida kivipi? Yaani wateja kukosa huduma kwa zaidi ya wiki ni hali ya kawaida?
 
Pesa tunayotoa ATM ni ndogo sana kuhitaji mlolongo wote huu wa kupoteza muda tu, na pia ATMs zina CCTV camera.
Ufafanuzi kidogo ndio mrefu ila in real application ni sekunde chache tu kuchomeka kadi kuingiza password na kuvuta mpunga - a fraction of a minute. Similarly kwa simu kama huna card. Kwa mtazamo wako ni angalau kiasi gani ambacho kingestahili huo mlolongo?
 
Security measures za banks ni 2-factor authentication ambayo unatakiwa kutimiza vigezo viwili; WHAT YOU HAVE and either WHAT YOU KNOW or WHAT YOU ARE.

WHAT YOU HAVE: card, phone, or some other recognized physical thing

WHAT YOU KNOW: usually password, code, OTP, etc.

WHAT YOU ARE: your body's unique features like fingerprints, etc.

So, WHAT YOU HAVE is a must then combine with any of the other two. Haya mambo yamefanyiwa tafiti wakaja na the best viable solution wakati sisi tunaongea kihisia zaidi - "ingekuwa" aka wishes!
Umeeleweka mfanyakazi wa benki.
 
Back
Top Bottom