MtamaMchungu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 10,115
- 15,057
Ni kweli, sema hatizingatiiLakini jamani NMB , walitutumia ujumbe wa tahadhari sms mara mbili juu ya matengenezo ya system,
Nadhani kesho itakuwa tayari
Ni kweli, sema hatizingatiiLakini jamani NMB , walitutumia ujumbe wa tahadhari sms mara mbili juu ya matengenezo ya system,
Nadhani kesho itakuwa tayari
Kamuulize baba yakoUlivyohama nmb wamepata hasara?
Baba angu hajahama nmb, nakuuliza ww uliyehamaKamuulize baba yako
Kuna mwamba analalamika amekosa 3m kisa huu ufundi 😂😃😄😁😀 nimecheka mno
Badala ya kuingiza kadi uwe unaweka tu pale pembeni kushoto sehemu ya kuscan inasomwa kama kawaidaIla hawa NMB ni wapumbavu sana. Wanaokota ATM zilizotupwa jalalani huko Ulaya wanakuja kutuwekea hapa TZ. Kinachosababisha watu tusipende kutumia kadi ni tatizo la ATM kumeza kadi. Wewe fikiria card yako imezwe Ijumaa usiku na pesa zako zote zipo bank si utakufa njaa wikendi nzima mkuu?
Mimi ni baba yakoBaba angu hajahama nmb, nakuuliza ww uliyehama
Safi, haya baba nambie nmb wamepata hasara ipi baada ya ww kuhamaMimi ni baba yako
Hasara ya bil 150Safi, haya baba nambie nmb wamepata hasara ipi baada ya ww kuhama
SafiHasara ya bil 150
Naogopa kuweka kule juu; siku moja kidogo nisahau kadi yangu. Na ubaya wa kuweka juu, hata ukimaliza kufanya miamala, ATM haikupigii king'ola uchukue kadi yako mkuu.Badala ya kuingiza kadi uwe unaweka tu pale pembeni kushoto sehemu ya kuscan inasomwa kama kawaida
Kahama kwa manenoUlivyohama nmb wamepata hasara?
Bc atulieKahama kwa maneno
Kimatendo vijisenti vyake bado vipo hazina