Wiki nzima NMB, ATM na NMB Mkononi hazifanyi kazi

Nmb hawachukui hatua yoyote kusaidia wateja wao.

Kama mtu umesahau kadi na uko safarini inakula kwako.

Nmb mnafeli wapi?
NMB ni mapimbi sana na wana huduma za kipimbi pia. Kama app tu inawashinda kurekebisha, wataweza nini? Sijawhi kuona benki ya kipumbavu kama hii hapa Ulimwenguni.
 
All in all kushikilia hela zetu au kutuzuia tusitumie tutakavyo siyo sawa kabisa.
System gani inakuwa down kwa siku tatu zote hizo????
Nafikiria kuwahama hawa jamaa
 
Wanafanya marekebisho kwenye Core Banking System kutoka ya zamani yenye utendaji hafifu kuja kwenye system mpya. Ina chukua muda kwani uhamishaji wa data na reconciliation ya mfumo wa zamani lazima viendane. Taarifa walishatoa……Kesho mambo yatakuwa vizuri. Ila kama unataka kutoa hela nenda ATM ama kwa wakala coz huduma zinapatikana!
 
Ila hawa NMB ni wapumbavu sana. Wanaokota ATM zilizotupwa jalalani huko Ulaya wanakuja kutuwekea hapa TZ. Kinachosababisha watu tusipende kutumia kadi ni tatizo la ATM kumeza kadi. Wewe fikiria card yako imezwe Ijumaa usiku na pesa zako zote zipo bank si utakufa njaa wikendi nzima mkuu?
 
😂😂😂 CRDB wamezidi aisee
 
Nmb kuna siku nimeenda saa nne nimetoka saa nane huduma ni hovyo kabisa ety system mpaka uitwe namba na wahudumu wapo kidogo
 
Sikuhizi kwenda bank ni ushamba otherwise una mpunga mrefu. Hela ndogondogo up to 10m tumia wakala tu.
 
Nmb hawachukui hatua yoyote kusaidia wateja wao.

Kama mtu umesahau kadi na uko safarini inakula kwako.

Nmb mnafeli wapi?
Nmb ni kuanzia jana, na walitoa tangazo labda ww hukuona

Na walisema mobile app hazitofanya kazi but njia nyingine kama atm zinafanya
 
Back
Top Bottom