Mtandao wa NMB leo umenikatili vibaya sana sina hamu kabisa

Mtandao wa NMB leo umenikatili vibaya sana sina hamu kabisa

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
52,828
Reaction score
165,667
Hawa jamaa leo wameniathiri vibaya kwa kukoso huduma fulani katika benki yao kutokana na mtandao wao kuwa down.

Nimepoteza hela na nimeopoteza fursa.

Inakera sana!
 
Wanafanya mambo yao kienyeji mnoo,vibayavibaya na kwa uzembe unaopea viwango.Hakuna wanachojali kiwe customer service au customer care.Wapowapo tu.
 
Wanafanya mambo yao kienyeji mnoo,vibayavibaya na kwa uzembe unaopea viwango.Hakuna wanachojali kiwe customer service au customer care.Wapowapo tu.
Mtu umekaa ndani zaidi ya masaa 3 unasubiri huduma hamna kinachoendelea mpaka wanafunga milango baadae unaona bora tu utoke huko ndani ukaendele.na shughuli zingine.
 
Hawa jamaa leo wameniathiri vibaya kwa kukoso huduma fulani katika benki yao kutokana na mtandao wao kuwa down.

Nimepoteza hela na nimeopoteza fursa.

Inakera sana!
Dah! Umenikumbusha mbaaaaaaali sana kipindi kile Meridian Biao Bank imefirisika! Enzi hakuna mitandao wala nini. Wana wa Mjini walikuwa wanavaa vizuri halafu wanaenda kusimama pale nje ya jengo la Meridian Biao Bank halafu wanasara sana. Ungewasikia;
"....dah hii benki imeniharibia sana mipango yangu. Nilitakiwa niwe London tangu jana, lakini hela hamna...!" Ahahahahaha
 
Back
Top Bottom