Mtandao unasumbua hadi kwenye ATMsWakuu habari za jioni hii
Huduma za kifedha za NMB hazipatikani kwasababu ya shida ya mtandao, hii ni kero sana haswa kwa sisi wajasiriamali ambao tunadeposit pesa kila siku kwaajili ya biashara.
Je ukienda ndani Kwa watoa huduma inakuajeMtandao unasumbua hadi kwenye ATMs
Mambo ya ajabu kabisa
Yaani tunapoteza hela sana.mteja ana hela nmb anataka kulipa .siku ikiisha ana cancel order nyieeeePole asee yaani kama sisi tunaofanya daily deposit dah ni shida
Jumamosi hwakufungua hata hizo benk yaani.sijajua keshoJe ukienda ndani Kwa watoa huduma inakuaje
Huko sifahamu ila kwenyenATMs hakuna hudumaJe ukienda ndani Kwa watoa huduma inakuaje
Je ukienda ndani Kwa watoa huduma inakuajemeMtandao unasumbua hadi kwenye ATMs
Mambo ya ajabu kabisa
Sio kweli. Mbona nimefanya miamala tangu jana mpaka leoWakuu habari za jioni hii
Huduma za kifedha za NMB hazipatikani kwasababu ya shida ya mtandao, hii ni kero sana haswa kwa sisi wajasiriamali ambao tunadeposit pesa kila siku kwaajili ya biashara.
Kwa akili zakoKukosa backup system ya uhakika nao ni uzembe huu.
Huko ndani sifahamu ila ATMs na Mobile Service zilikuwa bado zinasumbua hadi mchanaJe ukienda ndani Kwa watoa huduma inakuajeme
Huduma zinapatikana vizuri tokea jana.Huko ndani sifahamu ila ATMs na Mobile Service zilikuwa bado zinasumbua hadi mchana
Jana walinidhalilisha na leo ikabidi nijiongeze kwa namna nyingine.Huduma zinapatikana vizuri tokea jana.