Tanzania House Bank (THB) irudi sasa tuwe na makazi bora

Tanzania House Bank (THB) irudi sasa tuwe na makazi bora

Masalu Jacob

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2017
Posts
1,446
Reaction score
1,645
Habari Tanzania !...

Pole kwa majukumu, wewe usomaye barua hii.

1. Naomba kuuliza, hii "Tanzania House Bank" (THB) ilienda wapi !?.

Ombi langu;

Kwa wale wenye mamlaka ikiwapendeza, irudisheni haraka sana hii kitu, itatuondolea changamoto za ujenzi holela wa nyumba, mikopo ya kuumiza kwa wale wanaojikita na ujenzi, itachochea ajira za kudumu, itapunguza mfumuko wa bei za vifaa vya ujenzi hasa saruji na mabati.

Karibu.
 
Back
Top Bottom