Jengo la Ofisi ya Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi ni moja ya majengo ambayo yamesanifiwa na kujengwa kwa ubora na muonekano maridhawa katika Mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma.
Jengo hili limejengwa kwa usanifu wa kisasa wa ghorofa lenye muonekano wa kuvutia ambao kwa pamoja na...
Kwa niaba ya wananchi wenzangu Wakazi wa Mtaa wa Miswe, Kata ya Mbwawa, Mkoa wa Pwani, naomba kutoa kero inayotusumbua tangu mwaka 2025. Kuna wawekezaji kutoka Nigeria waliofungua kiwanda cha unga katikati ya makazi yetu.
Kero yetu kubwa ni kelele kutoka kwenye mitambo ya kiwanda hicho. Kuna...
Anonymous
Thread
kiwanda
makazimakazi ya watu
mtaa
pwani
wawekezaji
Maagizo ya kuwahamisha wananchi yametolewa katika baadhi ya maeneo ya Wilaya ya Orange (Orange County), California, huku wazima moto wakipambana usiku kucha ili kudhibiti moto unaosambaa kwa kasi kubwa.
Kwa mujibu wa maafisa wa Mamlaka ya Moto ya Orange County (OCFA), eneo lililowekewa maagizo...
Licha ya kufunguliwa Kesi Mahakama Kuu Kanda ya Musoma Kesi ya Ardhi Namba 00000897 ya Mwaka 2026, Wananchi, dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali pamoja na Katibu Mkuu Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, lakini oparesheni iliyofanywa katika Kata ya Kisaka vijiji vya Bolenga Wilayani...
Kwema wakuu, kwa wale dadaz and mamaz mnaopenda kuglow nipo kwa ajili yenu, na wale kakaz and babaz wasafi, nipo kwa ajili yenu.
Kaka zangu baba zangu tujipende inafikia hatua mkeo au mpenzi wako ana ona aibu kukutambilisha kwa rafiki zake, tubadilikw ndugu zangu tujipende, anaulizwa huyo nani...
Habari Tanzania !...
Pole kwa majukumu, wewe usomaye barua hii.
1. Naomba kuuliza, hii "Tanzania House Bank" (THB) ilienda wapi !?.
Ombi langu;
Kwa wale wenye mamlaka ikiwapendeza, irudisheni haraka sana hii kitu, itatuondolea changamoto za ujenzi holela wa nyumba, mikopo ya kuumiza kwa...
DODOMA
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Dkt. Leonard Akwilapo, ametoa rai kwa mamlaka za miji, taasisi na wananchi kuanza kuchukua hatua za maandalizi dhidi ya athari zinazoweza kujitokeza wakati wa mvua za El Niño na kusisitiza umuhimu wa upangaji bora wa maeneo ya makazi...
DODOMA
Serikali imesema imeanza kuweka msisitizo zaidi katika sekta ya nyumba na maendeleo ya makazi ili kuimarisha upatikanaji makazi bora, salama na yenye kuzingatia mipango miji, sheria na viwango vya ujenzi nchini.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhandisi...
DAR ES SALAAM
Serikali kuendelea kuweka mazingira wezeshi kwa ushiriki wa wadau katika maendeleo ya makazi, kwa kuzingatia sera, sheria na mipango ya kitaifa.
Hayo yameelezwa leo tarehe 30 Sept 2026 na Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Dkt Leonard Akwilapo wakati wa sherehe za...
Wakuu,
Kuna jambo nimekuwa nikijiuliza kwa muda na naamini kuna watu humu wanaweza kuwa na uzoefu au uelewa mzuri wa sheria za ujenzi Tanzania.
Je, mtu anayejenga nyumba yake ya makazi kwenye kiwanja chake anatakiwa kuwa na kibali cha ujenzi kabla ya kuanza kujenga?
Kwa sababu ukienda mikoani...
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Dkt Leonard Akwilapo Sept 23, 2026 ameungana na Mawaziri wenzake kutoka TAMISEMI pamoja na Maliasili na Utalii katika mkutano wa hadhara kutafuta ufumbuzi wa mgogoro wa muda mrefu unaohusu mipaka ya kiutawala na mpaka wa msitu wa Kazimzumbwi...
Ukifika kanda ya ziwa au sehemu zenye madini ambayo unaweza kupata mpaka USD za mamilioni ni bei rahisi.
Ila sehemu za makazi kama nyumba,real state,mijini na sehemu za kimkakati unaweza shangaa kuuziwa Bilioni wakati wameacha kinyesi au kaburi.
Huu utaratibu kuwekewa uchafu mlangoni kwenye makazi yetu wakati mtambo wa kusafisha Mto Ng'ombe hapa Dar sio salama kwetu kwa kuwa uchafu wote unakuja kwenye makazi yetu na kutuweka katika hali hatarishi kiafya.
Anonymous
Thread
dar
kiafya
kusafisha
kuweka
makazimakazi ya watu
milango
mto
ng'ombe
salama
sio
uchafu
Habari wakuu, majuzi nikiwa naperuzi insta nilikutana na tangazo la dalali la apartment ya AirBnB. Nilikuwa tayari nimeshapita, lakini nikastuka baada ya kugundua kuwa jengo lile ni la mradi wa Samia Housing Scheme uliopo pale Kawe.
Swali likanijia mara moja: Hivi hizi nyumba tunawajengea kina...
Wakuu, habari za mchana huu.
Kuna changamoto naona inazidi kushamiri kwenye mitaa yetu mingi hapa Dar es Salaam, nayo ni tabia ya baadhi ya watu kuchoma moto taka katikati ya makazi ya watu. Lugha ya mtaani wengi wanasema "kusoma matakataka."
Kimsingi, jambo hili limekuwa likisababisha moshi...
Mji mdogo wa Bomang'ombe, uliopo Wilaya ya Hai, Mkoa wa Kilimanjaro, umekuwa ukikua kwa kasi katika miaka ya hivi karibuni. Hata hivyo, ukuaji huu umeletwa na changamoto kubwa ya uanzishwaji wa viwanda vidogo katikati ya makazi ya watu, jambo linaloathiri utulivu na maisha ya wananchi.
Kumekuwa...
Anonymous
Thread
hai
makazimakazi ya watu
mdogo
mji
nani
ndani
viwanda
viwanda vidogo
Mkazi wa Kitongoji cha Nyamaitagi, Kata ya Majimoto, Wilaya ya Serengeti mkoani Mara, amepatwa na taharuki baada ya risasi ya bunduki iliyopigwa na wanajeshi waliokuwa wakifanya mazoezi kutoboa paa la nyumba yake na kuingia ndani.
Tukio hilo lilitokea Agosti 20, 2026. Kwa bahati nzuri, hakuna...
Wananchi Wakazi wa Kitongoji cha Bago (Maisha Plus), Kijiji cha Msakangoto, Kata ya Kigombe, Wilaya ya Muheza Mkoani Tanga tunapitia changamoto ambayo inatuumiza kiasi kwamba tunaona giza katika kesho yetu kwani tunaona kuna dhuluma, uonevu na kutelekezwa tunakopitia wananchi wa Kaya 67...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.