Vipi hailipi, tupe dili mkuuNgamia Tunduma?
Kama ngamia unae fresh tu mpeleke muanze MaishaVipi hailipi, tupe dili mkuu
HaifaiNgamia Tunduma?
Usikute ngamia ni codeNgamia Tunduma?
Ingekua nguruwe sawa Mbeya tunakula sana sasa ngamia mzee we msomali,kule hakuna mchangaHaifai
Banabana huu upande wa njia ya kuelekea Xwanga...tia na tupunda.Wadau wa Tunduma nipeni muongozo
Kila la kheri