Mahakama yazifunga akaunti za benki za CHADEMA hadi Renatus Nzemo alipwe stahiki zake za utumishi

Mahakama yazifunga akaunti za benki za CHADEMA hadi Renatus Nzemo alipwe stahiki zake za utumishi

Quinine

Platinum Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
25,848
Reaction score
63,306
Inaelezwa kuwa Akaunti za benki za Chadema zimefungiwa hadi wamlipe Renatus Nzemo madai yake ya stahiki zake za Utumishi.

Who's Renatus Nzemo.

HTShs89XsAAWnAH.jpg
 
Inaelezwa kuwa Akaunti za benki za Chadema zimefungiwa hadi wamlipe Renatus Nzemo madai yake ya stahiki zake za Utumishi.

Who's Renatus Nzemo.

View attachment 3679686
Yes,
ni hatua nzuri na muhimu sana ya kukomesha utapeli wa vyama vya siasa dhidi ya watumishi wao waliowatumikisha kwa miaka mingi na hatimae kuwadhulumu stahiki zao.🐒
 
Yes,
ni hatua nzuri na muhimu sana ya kukomesha utapeli wa vyama vya siasa dhidi ya watumishi wao waliowatumikisha kwa miaka mingi na hatimae kuwadhulumu stahiki zao.🐒
Anadai nini CDM huyo Renatus? Au umedandia treni kwa mbele genital woman?
 
Yes,
ni hatua nzuri na muhimu sana ya kukomesha utapeli wa vyama vya siasa dhidi ya watumishi wao waliowatumikisha kwa miaka mingi na hatimae kuwadhulumu stahiki zao.🐒
Renatus Nzemo, John Heche (akiitwa Wegesa,Charles SAUT) na mimi Mtoto wa Shule tumesoma kozi moja pale SAUT EDUCHE 2006/2009. Renatus Nzemo aliipambania sana Chadema ingawa nilikuwa namshauri sana aachane nao kwani wakati tukisoma na yeye alikuwa Mtumishi wa Serikali ila akiipenda sana Chadema na akiwa mwanachama kindakindaki.

Baadae aliacha Utumishi wa Serikali ili aijenge Chadema Bukombe anakoishi na kitaifa. Nakumbuka akija Jijini Mwanza na Double Cabin ya M4C tunakaa na kunywa Konyagi na kuongea kuwa alifanya kosa kubwa sana kuondoka Serikalini, yeye anacheka tu.

Pia kuna wadada wengine wawili, mmoja aliacha kazi Nsumba Sekondari 2015 ili aijenge Chadema. Leo anambwelambwela mtaani maana alivunja hadi ndoa yake akiamini atakuwa mtu Mkubwa sana! Ahahahahaha!

Mdada mwingine yupo Nganza Sekondari hadi leo. Yeye alikuwa Chadema kindakindaki 2015+ lakini machale yalimcheza. Akaahidiwa Ubunge wa Viti Maalum Mwanza kupitia Chadema, akagoma!
Ila Renatus Nzemo? Nitamtafuta kesho maana sasa hivi nakunywa Konyagi Empire hapa Nyegezi!
 
Tanzania ina watumishi wa Umma zaidi ya elfu 40...kama wameshindwa kulipa stahiki za mtumishi mmoja wataweza vipi kulipa watu zaidi ya elfu arobaini?
 
Yes,
ni hatua nzuri na muhimu sana ya kukomesha utapeli wa vyama vya siasa dhidi ya watumishi wao waliowatumikisha kwa miaka mingi na hatimae kuwadhulumu stahiki zao.🐒
CCM watumishi wake hawakulipwa mishahara kwa zaidi ya miezi sita mpaka pale Magufuli alipochota pesa za serikali na kuwalipa jioni.
 
CCM watumishi wake hawakulipwa mishahara kwa zaidi ya miezi sita mpaka pale Magufuli alipochota pesa za serikali na kuwalipa jioni.
jikite tu kwenye hoja na uache porojo na upotoshaji gentleman na itapendeza zaidi 🐒
 
Back
Top Bottom