mahakama

Mahakama ni chombo kinachotafsiri na kutumia sheria katika kutoa haki. Ni moja wapo ya mihimili mitatu inayounda serikali, ambapo mihimili mingine ni Bunge na Serikali Kuu.
  1. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Mahakama mnaisikia jamii inavyosema juu yenu?

    Watanzania kwa hofu wanaongea kama wananong'ona lakini wakisemacho kuhusu mahakama ya Tanzania kinatoa mwangwi wenye kishindo. Jee mahakama inasikia wakisemacho wananchi kuhusu uhuru na weledi wa mhimili huo kwenye kufanya maamuzi yenye maslahi kwa Taifa letu?
  2. C

    JamiiForums Tanzania Kenya: Mahakama Kuu, Kaunti ya Nairobi yaamuru Polisi kumrejesha Twaha Mwaipaya akiwa hai au amefariki

    Mahakama Kuu ya Kenya, iliyopo Milimani jijini Nairobi, imewaagiza maafisa wa serikali na Jeshi la Polisi kumfikisha Twaha Mwaipaya mbele ya mahakama hiyo akiwa hai au amefariki dunia, pamoja na hati halisi ya kumweka kizuizini, ili kubaini alipo na mazingira ya kuzuiliwa kwake. Agizo hilo...
  3. Q

    JamiiForums Tanzania Haki 10 za mahabusu ambazo Mahakama ilimnyima Lissu

    Lissu hakujitetea kwa ukamilifu kutokana na baadhi ya haki zake kama mshitakiwa kukiukwa aidha na mahakama ama magereza. 1. Haki ya kuongea na mawakili wake. KANYIMWA 2. Haki ya kupata mashahidi anaowataka. KANYIMWA 3. Haki ya kutoteswa. KANYIMWA, alilalamika kuwekewa kamera hadi chooni. 4...
  4. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania “Rais William Ruto Hawezi Kubadilisha Sheria kwa Kauli!” Mahakama Yabatilisha Agizo la Kutenga Nyumba kwa Walimu na Polisi

    Mahakama Kuu nchini Kenya imetangaza kuwa agizo la Rais William Ruto la kutenga asilimia 20 ya nyumba za bei nafuu kwa walimu na maafisa wa polisi halina nguvu za kisheria, ikisema Rais hana mamlaka ya kubadilisha sheria zilizopitishwa na Bunge kupitia matamshi yake. Katika hukumu iliyotolewa...
  5. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania “Baraza la Mawaziri Lisilo Halali Kikatiba?” Ruto Akabiliwa na Shinikizo Baada ya Kukaidi Agizo la Mahakama

    Rais William Ruto anakabiliwa na changamoto mpya ya kisheria baada ya muda aliopewa na Mahakama Kuu kurekebisha uwakilishi wa kijinsia katika Baraza lake la Mawaziri kumalizika bila mabadiliko yaliyohitajika kufanywa. Katika hukumu iliyotolewa Juni 30, 2026, Mahakama Kuu ilibaini kuwa Baraza la...
  6. O

    JamiiForums Kenya Mahakama Yaamuru Ezekiel Mutua Kumlipa Nonini KSh3 Milioni kwa Kumkashifu

    Mahakama ya Milimani imemuamuru aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Music Copyright Society of Kenya (MCSK), Ezekiel Mutua, kumlipa mwanamuziki maarufu Hubert Nakitare, anayefahamika kama Nonini, fidia ya KSh3 milioni kutokana na matamshi yaliyopatikana kuwa ya kumkashifu. Katika uamuzi uliotolewa...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Uganda: Kesi dhidi ya Muhoozi yatupiliwa mbali

    Mahakama Kuu ya Kampala nchini Uganda imekataa kutoa wito wa kisheria dhidi ya Mkuu wa Majeshi (CDF), Jenerali Muhoozi Kainerugaba, na wenzake 17 kufuatia kesi iliyofunguliwa na mwanasheria aliyefungwa gerezani, Male Mabirizi. Mabirizi alitaka viongozi hao wachukuliwe hatua za jinai akidai kuwa...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Mahakama iangalie vizuri sababu za kesi za uhaini! kutunza imani ya mahakama

    Sababu kubwa imekuwa ni mwanya wa kubandikia wanasiasa kesi ambazo hazina maana na kunyima haki watanzania.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Imani ya Mahakama imepungua sana lakini wanaweza kuirudisha kwa kutenda haki

    Imani ya Mahakama imepungua sana lakini wanaweza kuirudisha kwa kutenda haki. Vilevile mkiendeshwa na Ikulu sio tu Mahakama itakuwa haina imani kwa watu bali itaonekana ni chombo cha mafisadi kama kwasasa ilivyo Bunge
  10. Labani og

    JamiiForums Tanzania Mahakama yavunja ndoa kisa mke ana maji mengi

    Mahakama ya Chelstone (Chelstone local Court ) jijini Lusaka, Zambia, imevunja ndoa ya Trevor Banda mwenye umri wa miaka 36 na Loveness Mukwato mwenye umri wa miaka 27 baada ya wanandoa hao kushutumiana kwa uzinzi na kushindwa kuelewana katika ndoa yao. Katika kesi hiyo, Loveness aliiomba...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu yatupilia mbali rufaa ya Selasini: Mbatia ashinda vita ya Kisheria na kufutiwa tuhuma zilizomchafua

    MOSHI, TANZANIA — Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Moshi, imetoa hukumu iliyohitimisha mnyukano wa kisheria na kisiasa kati ya wanasiasa wa siku nyingi nchini, Joseph Roman Selasini na James Francis Mbatia. Hukumu hiyo, iliyotolewa tarehe 13 Oktoba 2026 na Mheshimiwa Jaji S. H...
  12. B

    JamiiForums Tanzania USHAURI WA KISHERIA: KWA NINI MKUU WA GEREZA LA UKONGA ANAPASWA KUFUNGULIWA MASHTAKA KWA KUVUNJA KATIBA NA KANUNI ZA NCHI

    Leo, Oktoba 16, 2026, Mahakama Kuu ya Tanzania imetoa uamuzi wa kihistoria katika Shauri la Kikatiba Na. 7300/2026 lililofunguliwa na Mawakili wa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu (Kulwa Maduhu, Nashon Nkung'u, na Paul Kisabo). Mahakama imebainisha wazi kuwa vitendo vya uongozi na maafisa wa...
  13. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania EACC Yataka Kurejesha KSh170M Kutoka kwa Waititu Baada ya Uamuzi wa Mahakama Kuu

    Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi (EACC) imetangaza kuendelea na juhudi za kurejesha KSh170 milioni kutoka kwa aliyekuwa Gavana wa Kiambu, Ferdinand Waititu, kufuatia uamuzi wa Mahakama Kuu uliodumisha hatia yake katika kesi ya ufisadi na kurejesha mashtaka ya utakatishaji fedha. Katika...
  14. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Mahakama kuu kutoa hukumu kesi ya mawakili wa Tundu Lissu dhidi ya jeshi la Magereza

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza kuwa Mahakama Kuu ya Tanzania, inatarajiwa kutoa hukumu katika Kesi ya Kikatiba inayohusu haki ya mawakili kukutana kwa faragha na mteja wao, Tundu Antipas Lissu, akiwa gerezani bila kusikilizwa au kuingiliwa na maafisa wa magereza. Kwa...
  15. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Shule ya msingi iliyo karibu na Halmashauri ya Kahama na Mahakama siku watoto wakifa mnataka mueleze vipi.

    Nimepata kupita kikazi hapa Kahama.Ila sipendi kupita kama raisi au viongozi wanavyo tufanyia sisi wananchi wa chini. Kuna shule hapa Kahama ipo harmashauri ya Kahama, Mahakama na nyuma ya kanisa Katoliki. Kiukweli hapa nyuma kuna wachimba mawe na kupasua kokoto na kuna mashimo na makorongo...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Je kuna haja ya kupinga adhabu ya kifo Mahakama Kuu, kwa misingi ya haki za binaadamu

    Kuna mwelekeo duniani kote nchi mbalimbali kuondoa adhabu ya kifo.kwenye mashauri mbalimvali. sina takwimu sahihi kwa sasa nchi ambazo bado zina adhabu hii ambayo kimsingi inapingana na misingi ya haki za binadamu. Kwa Tanzania ma Rais wa awamu zote walikwepa kusaini hukumu ya kifo na kubakia...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Casual observation yangu inanionesha zimetokea transfer katika Mahakama za Mwanzo kila mahali. Maana yake nini?

    Nimepita mahakama za mwanzo kama tatu wafanyakazi wote ni wapya. Hii ni policy ya sasa au ni coincidence! Kama ni policy inasaidia nini maana pale ndio kiini cha rushwa nchini kote. Ni chuo cha namna ya kula rushwa
  18. A

    JamiiForums Tanzania Uamuzi wa Kesi ya Said Issa na wenzake dhidi ya CHADEMA hadi Oktoba 22, 2026

    Mahakama kuu ya Tanzania, Masijala Ndogo ya Dar es Salaam, imeahirisha kutolewa kwa uamuzi wa maombi ya zuio katika kesi inayowahusisha Said Issa Mohamed na Ahmed Rashid Khamis dhidi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Mahakama imesema uamuzi huo umesogezwa mbele hadi tarehe 22...
  19. Nuel27

    JamiiForums Tanzania Mahakama imeogopa kuwaadhibu wavunja katiba ,imeona aibu kuminda ASSAD - ZITTO

    Kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT-Wazalendo na Mrufani katika shauri la Kikatiba dhidi ya Serikali, Zitto Zuberi Kabwe, ametoa tamko zito akisikitishwa na hatua ya Mahakama ya Rufani ghafla kusita kumpa nafuu stahiki aliyekuwa CAG, Prof. Mussa Juma Assad, licha ya kuthibitisha rasmi kuwa...
  20. Troll JF

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Rufani imetupilia mbali shuauri la Madai kati ya Zitto Zuberi Kabwe dhidi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Kuna shauri la kikatiba alifungua Zitto Zuberi kabwe akipinga kuondolewa kwa Professor Asad katika nafasi yake ya CAG. Mahakama ya Rufani iliyokaa na Majaji watano (5) likiongozwa na Jaji wa Mahakama ya Rufani waheshimiwa Barke Mbaraka Aboud Sehel, Dr. Gerald Anthony Mwandambo, Dr. Mary...
Back
Top Bottom