mahakama

Mahakama ni chombo kinachotafsiri na kutumia sheria katika kutoa haki. Ni moja wapo ya mihimili mitatu inayounda serikali, ambapo mihimili mingine ni Bunge na Serikali Kuu.
  1. The Watchman

    Iringa: Wadau wa mahakama watakiwa kutenda haki ili kutokomeza rushwa

    Wadau wa mahakama mkoani iringa wametakiwa kutenda haki wanapokuwa katika majukumu yao ikiwemo kujenga ukaribu kwa wananchi wakati wa wanapotoa huduma za kimahakama. Akizungumza wakati wa maadhimisho ya kilele cha siku ya sheria yaliofanyika katika viwanja ya mahakama mgeni rasmi wa maadhimisho...
  2. The Watchman

    Pre GE2025 Rukwa: Serikali yatoa bilioni 1.2 kwa ajili ya ujenzi wa mahakama za mwanzo

    Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga Nyakia Chirukile, amesema Serikali imetoa fedha kiasi cha shilingi billioni 1.2 kwa ajli ya ujenzi wa Mahakama Mpya za Mwanzo, katika Wilaya ya Sumbawanga, Nkasi na Kalambo ambazo kukamilika kwake kutawawezesha wananchi kupata huduma za kimahakama kwa urahisi...
  3. P

    Mahakama za Tanzania Sio Kimbilio la HAKI

    Mwenendo wa makahakama za Tanzania kwa utoaji haki kwa masuala nyeti kama ya haki za kisiasa na kikatiba imekuwa ikiingiliwa sana. Majaji wa Tanzania na Mahakimu wengi ni wafungwa wa Executive. Itoshe kusema Mahakama za Tanzania sio Kimbilio la Haki.
  4. Waufukweni

    Mahakama ya kijeshi Uganda imepigwa marufuku kusikiliza kesi za kiraia

    Mahakama ya juu nchini Uganda imeamuru kuwa kesi zote zinazowahusu raia ambazo zilikuwa zikisikilizwa katika mahakama za kijeshi zisitishwe mara moja na kuhamishiwa katika mahakama za kawaida. Uamuzi huo umetolewa na jopo la majaji saba, likiongozwa na Jaji Mkuu Alfonse Owing Dollo, ambao...
  5. R

    Uhuru wa Mahakama: Mahakama yasitisha amri ya Trump ya kuzuia uraia wa kuzaliwa Marekani

    UHURU WA MAHAKAMA Kwako Ibrahim Juma , CJ. MH. JAJI MKUU NAOMBA UPITIE UONE KAMA KUNA HAJA YA KUIGA MFANO HUU WA MAHAKAMA HURU Jaji wa Mahakama ya Wilaya ya Marekani, John Coughenour, ametoa agizo la muda la kusitisha utekelezaji wa amri ya Rais Donald Trump ya kufuta uraia wa kuzaliwa nchini...
  6. Wakusoma 12

    Hivi ile kauli ya " Watuhumiwa walitakiwa kutokujibu chochote maana mahakama hii Haina mamlaka ya kusikiliza kesi hiyo" imekaa kichuro sana

    Ni kauli ya kushangaza kidogo kama mahakama Haina mamlaka ya kusikiliza kesi hiyo Watuhumiwa mmewapeleka hapo kufanya Nini kwanini wasiende moja kwa moja mahakama yenye nguvu kisheria ya kusikiliza kesi za namna hiyo? Mambo ya zamani Bado tunayashadadia sana Tanzania.
  7. Roving Journalist

    Rais Samia: Mganga Mkuu kasimamie mambo ya milipuko, Nchi iwe salama

    https://www.youtube.com/watch?v=tjFWwo6VAx8 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, DKt. Samia Suluhu Hassan Akiwaapisha Majaji wa Mahakama ya Rufani, Ikulu Chamwino Dodoma, leo tarehe 22 Januari, 2025. Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan awaapisha Majaji wa Mahakama ya Rufani Ikulu Chamwino...
  8. kagoshima

    Mahakama Kuu ya Kenya bado imemkalia kooni IGP afike mahakamani ahojiwe Kuhusu utekaji ama ahukimiwe

    Huko Kenya Hali si Hali kwa IGP. Mahakama inataka afike mahakamani akaeleze waliko raia wa Kenya waliotekwa na vinavyodaiwa kuwa vyombo vya usalama. Inaonekana amekua akikwepa kufika mahakamani. Mahakama imempa onyo la mwisho. Afike mahakamani au ahukimiwe
  9. Ileje

    Serikali ya Samia kuingilia Mahakama na Rushwa ya Mazingira - Ushahidi huu hapa

    Itakumbukwa Mbowe alikamatwa Mwanza na kufunguliwa kesi ya uchochezi na uhaini na kukaa rumande kwa miezi nane (8). Kesi ya awali ilisikilizwa na Jaji Siyani ambaye baada ya kumkuta Mbowe ana kesi ya kujibu alipandishwa cheo na kuwa Jaji Kiongozi. Cheo hiki kilikuwa shukrani ya serikali ya Samia...
  10. Msanii

    Je mahakama zetu ni adui wa HAKI? Je rais ni Mungu wa Tanzania?

    Habari wanabodi Nimefuatilia kwa kitambo sana mwenendo wa mfumo wa sheria na utawala nchini kwetu, nimekuja kupata swali linalonipa ukakasi sana sana KWa tukio la juzi kukamatwa usiku wa manane Dokta W. Slaa na namna tuhuma dhidi yake kwamba upelelezi haujakamilika inaleta picha ya namna vyombo...
  11. Mkalukungone mwamba

    Kauli ya kwanza ya Kada wa CHADEMA George Sanga baada ya kuachiwa huru na Mahakama

    Kauli ya kwanza ya Kada wa CHADEMA George Sanga baada ya kuachiwa huru na Mahakama. Hii inakuja baada ya Mahakama Kuu Kanda ya Iringa alipotangaza kuachia huru wanachama watatu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA akiwemo aliyekuwa Katibu wa Jimbo George Sanga na wenzake Gudluck Mfuse...
  12. Mtoa Taarifa

    Mahakama Kuu yaagiza Polisi kuwaachia au kuwafikisha Mahakamani wanaodaiwa kutekwa, pia yaagiza IGP afike Mahakamani leo Desemba 31, 2024

    Jeshi la Polisi limeagizwa kuwaachia huru au kuwafikisha Mahakamani leo Desemba 31, 2024 Watu 6 wanaodaiwa kutekwa na kushikiliwa na Polisi pamoja na Vyombo vingine vya Usalama kinyume na Sheria. Jaji Bahati Mwamuyé ametoa amri hiyo (Habeas Corpus) inayotaka Walalamikaji hao kufikishwa...
  13. Mtoa Taarifa

    Trump aitaka Mahakama kuchelewesha ufungiaji wa Tiktok hadi atakapoingia Ikulu ili atafute suluhu

    Rais Mteule Donald Trump, ametoa wito kwa Mahakama ya Juu kuchelewesha uamuzi wa kuufungia Mtandao wa Tiktok unaomilikiwa na kampuni ya ByteDance ya China, hadi atakapoingia rasmi madarakani na kuahidi kutafuta suluhu. Tiktok yenye watumiaji takriban Milioni 170 nchini humo, inakabiliwa na amri...
  14. D

    Kwanini Wakili Tundu Lissu anaiogopa sana Mahakama?

    Huyu bwana kwa taaluma yake na kwa jinsi anavyojipambanua kama mwanasheria nguli, nilitaraji niwe nimemuona katika viunga vya mahakama mara kadhaa. Sababu kubwa ni kwa kujua na Lissu anajua sana, kuwa kwa mujibu wa Katiba yetu, mahakama ndio mhimili uliopewa mamlaka ya kusimamia na kutoa haki...
  15. enzo1988

    Kwa wazoefu: Huchukua muda gani kulipwa malipo kutoka akaunti ya mirathi ya mahakama??

    Ikiwa kama nyaraka zote zimekamilika na mmeambiwa msubiri malipo kwenye akaunti zenu,huchukua muda gani?? Kwa uelewa wangu kutokana na maendeleo ya sayansi na teknolojia basi ni siku kadhaa! Mwezi wa pili huu mnaambiwa msubiri! Nb:Mirathi mahakama ya Nyamagana!
  16. A

    KWA UAMUZI HUU, KWA NINI NISIAMINI HAKIMU ZENAS TARIMO WA MAHAKAMA YA MWANZO ILALA AMEPEWA RUSHWA NA TIGOPESA (HONORA TZ MOBILE SOLUTI KUPINDISHA HAKI

    Ndugu wana jamvi kwa uamuzi wa hovyo hivi ni kwa nini nisiamini kuwa huyu hakimu ni mla rushwa? Amehongwa na kampuni ya honora tz mobile solutions ili kufuta kesi hii. Ni utaratibu kuwa watoa huduma za fedha wanasimamiwa na benki kuu chini ya sheria ya Bot Act na Bot financial consumers...
  17. Stephano Mgendanyi

    Mahakama Yapongezwa kwa Kuzingatia Misingi ya Ajira kwa Wenye Ulemavu

    MAHAKAMA YAPONGEZWA KWA KUZINGATIA MISINGI YA AJIRA KWA WENYE ULEMAVU. Maneno hayo yamesemwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi,Vijana,Ajira na Wenye Ulemavu Bwana Ridhiwani Jakaya Kikwete wakati akifunga mafunzo ya Watumishi wa Serikali, Mahakama na Taasisi za Umma yaliyodhaminiwa...
  18. A

    KERO Uozo na ukiritimba Mahakama ya Mwanzo Ilala

    Ni jambo la kusikitisha kwamba mahakama ya Mwanzo Ilala haina njia mbadala ya kufanya shughuli zanazotegemea umeme kuendelea kama kawaida pale umeme unapokatika. Kuna watu waliahidiwa kufuata nakala za hukumu ila wameshindwa kupata kwa kuwa umeme hakuna. Kinachokera zaidi kituo cha polisi...
  19. B

    Mahakama yakataa dhamana ya Lil Durk

    Timu ya mawakili wa Lil Durk iliwasilisha ombi mahakamani, wakitaka rapa huyo apewe kifungo cha nyumbani. Timu hiyo ilitoa ofa ya dhamana yenye thamani ya $3.3 milioni (sawa na takriban Tsh bilioni 7.8), ambayo ilijumuisha: Nyumba mbili za Lil Durk zilizopo Georgia zenye thamani ya $2.3 milioni...
  20. Mtoa Taarifa

    Kama hizi ndio sababu za Tanzania kujitoa kwenye Mahakama ya Haki za Binadamu na Watu ya Afrika (AfCHPR), basi tuna tatizo sana la Utawala Bora

    Tanzania ilijitoa rasmi kwenye Mkataba wa Kukubali Mamlaka ya Mahakama ya Haki za Binadamu na Watu ya Afrika (AfCHPR) mnamo Novemba 2020. Sababu kuu zilizotajwa ni pamoja na: 1. Matumizi Mabaya ya Haki za Kisheria: Serikali ya Tanzania ilidai kuwa baadhi ya watu binafsi na mashirika walikuwa...
Back
Top Bottom