Mahakama ni chombo kinachotafsiri na kutumia sheria katika kutoa haki. Ni moja wapo ya mihimili mitatu inayounda serikali, ambapo mihimili mingine ni Bunge na Serikali Kuu.
Mdude Nyagali maeachiwa kwa dhamana na Mahakama ya Hakimu Mkazi Songwe hii leo Disemba 06, 2024 baada ya kukaa Mahabusu kwa siku 15 katika vituo vya Polisi vya Ileje Songwe, Inyala Mbeya, Kituo cha Polisi Kati Dar Es Salaam na Vwawa Songwe.
Mdude Nyagali alikamatwa na Jeshi la Polisi Novemba...
Katika historia ya nchi hii, hakuna Rais yeyote yule aliyewahi kumteua Mh. Joseph Sinde Warioba kuwa Jaji, na katika vitabu vyote vya hukumu zilizoripotiwa, hakuna hukumu hata moja ya Mh. Joseph Sinde Warioba. Hajawahi kukalia kiti cha ujaji hata mara moja.
Katika orodha ya majaji wa nchi hii...
Leo Jumatatu Desemba 2, 2024 Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Mbeya imetupilia mbali maombi ya mawakili wa upande wa utetezi yaliyotolewa na mawakili Boniface Mwabukusi na Philip Mwakilima kwa madai kuwa kiapo kinzani hakijathibitisha kujeruhiwa na kushikiliwa kinyume cha sheria kwa...
🚨HABARI: Donald Trump kumuekea vikwazo jaji mkuu wa mahakama ya ICC Karim khan kwa maamuzi ya mahakama hio ya kutoa hati ya kukamatwa kwa Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu
🚨NEWS: Donald Trump will SANCTION a British lawyer ‘Karim Khan’ over the International Criminal Court’s arrest...
Mwenyekiti wa Makampuni ya Barrick amesema amefurahishwa na maamuzi ya Mahakamani ya kutupilia mbali Shauri lilopelekwa na Wanaharakati wa Tanzania ambao Walioshitaki kampuni hiyo Kwa kile kinachodaiwa Kukiuka Haki za binadamu kwenye mgodi wa North Mara Kwa kutumia Polisi.
Kampuni ya Dhahabu...
Kulingana na malalamiko rasmi kwa ECN, chama cha IPC sasa iko katika mchakato wa kufika Mahakama ya Uchaguzi (sehemu ya Mahakama Kuu ya Namibia) ili ikiwezekana kutengua uchaguzi wa Rais na Wabunge wa Namibia leo, kwa kuzingatia ukweli kwamba idadi kubwa ya watu hawakuweza kutumia haki yao ya...
Hapa nadhani ndugu zanguni tupambane ipatikane mahakma ya kadhi. Misikitikini au tuangalie namna ya kuchangishana pesa.after all wafanyabiashara wengi wakubwa ni waislamu. Kweli watashindwa ilipia mahakma ya kadhi?
Tuacheni kuwa walalamishi. Tujianzishie mahakma ya kadhi kama kweli tuna nia...
Mahakama ya kijeshi ya Uganda imemshtaki mwanasiasa wa upinzani, Dkt Kizza Besigye, pamoja na mshirika wake, Hajj Obeid Lutale, kwa kumiliki silaha nchini Kenya, Ugiriki, na Uswisi.
Walipofikishwa mbele ya mahakama kuu ya kijeshi jijini Kampala, chini ya uenyekiti wa Brigedia Freeman Mugabe...
Salim Ayyash, gaidi wa Hezbollah, alietiwa hatiani kwa mauaji ya waziri mkuu wa zamani, Rafik Hariri, ambaye alikuwa mzalendo wa Lebanon anayejulikana kwa kujenga upya Beirut baada ya vita vya wenyewe kwa wenyewe. Ripoti zinadai kuwa aliuawa katika shambulizi la Israel nchini Syria...
Wakuu
CHADEMA wamemjibu Makamu Mwenyekiti wa chama chao, Tundu Lissu
=====
Hivi karibuni kumeibuka tena wimbi la hoja mbalimbali ambazo zilishawahi kuibuka siku za nyuma na ambazo zimesababisha wanachama, wapenzi wa Chadema na Wananchi kwa ujumla kutaka ufafanuzi rasmi wa Chama;
1. Chadema...
Wakili wa mshtakiwa Askofu Machumu Maximilian Kadutu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Jijini Dar es Salaam, Tundu Antipas Lissu ameiomba Mahakama itupilie mbali shauri la Kesi ya Uchochezi dhidi ya Askofu huyo kwa madai kuwa halina mashiko.
Kwenye shauri hilo la jinai, Namba 19525, Mwaka 2024...
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kitaifa la Uchunguzi wa Fedha (ANIF) la Guinea ya Ikweta, Baltasar Ebang Engonga, amenaswa kwenye kashfa nzito na kubwa zaidi ya ngono nchini humo. Inayohusisha zaidi ya video 400 za ngono.
Wanawake waliomo kwenye video hizo ni pamoja na wake za viongozi wengi...
aachiwa
bado
baltasar ebang engonga
baltasar engonga
equatorial guinea
hizi
kuishi na mwanamke
kuitwa
kuthibitisha
mahakama
puff daddy
sababu
video za ngono
vigezo
wake za watu
wanawake wa kiafrika
07 November 2024
Maputo, Mozambique
MAHAKAMA YA KIKATIBA MOZAMBIQUE YAKUBALI MAOMBI YA CHAMA CHA PODEMOS, KURA ZIRUDIWE KUHESABIWE
https://m.youtube.com/watch?v=AVFt6_Ok56U
Chama cha upinzani PODEMOS nchini Mozambique pamoja na cha PAO wamepeleka ushahidi wa kilo Mia tatu za ushahidi katika...
Tusome kwa pamoja Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Ibara ya 12 (6) Kwa madhumuni ya kuhakikisha usawa mbele ya sheria,
Mamlaka ya Nchi itaweka taratibu zinazofaa au zinazozingatia
misingi kwamba:
(a) wakati haki na wajibu wa mtu yeyote vinahitaji kufanyiwa uamuzi wa mahakama au...
Kesi ya madai namba 167/2021 iliyofunguliwa na Baghayo Saqware dhidi ya Hospitali ya Salaaman imetupiliwa mbali na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam baada ya kushindwa kuthibitisha madai yake.
>>
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imetupilia mbali kesi ya madai ya Kamishna wa...
Nyota wa rap wa Marekani, Young Thug, ameachiwa kutoka gerezani jana Alhamisi baada ya kukiri mashtaka ya kushiriki katika uhalifu wa genge, kumiliki silaha, na kutumia dawa za kulevya. Kesi hii inatajwa kuwa kesi iliyochukua muda mrefu zaidi katika historia ya Georgia.
Thug (Jeffery Lamar...
Wanabodi,
Makala yangu gazeti la Mwananchi.
Wiki iliyopita kwenye safu hii nilimpongeza Spika Dr. Tulia, kwa kazi nzuri aliyoifanya kwenye Mabunge ya Dunia, IPU kwa kuwakoromea maspika wenzake wa nchi za mabeberu, nikasema tunamuomba aliendeshe Bunge letu liisimamie serikali kikamiifu...
Jopo la majaji watatu - Mahakama Kuu nchini Kenya limetoa uamuzi kuwa Naibu Rais (Mteule) Professor Kithure Kindiki kuapishwa baada ya Gachagua kufukuzwa na Seneti.
Source: Nation Media...
Kesi ambazo tunaweza shinda kwenye Mahakama yoyote ile Tanzania ni zile Individual ambazo Serikali haina masilahi nazo na wala hazina impact yoyote kkwa Serikali.
Kesi yoyote ambayo ina negative impact kubwa kwa Serikali hii ni kujisumbua nayo kwenye mahakama za Tanzania make ni ile Rostam...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.