mahakama

Mahakama ni chombo kinachotafsiri na kutumia sheria katika kutoa haki. Ni moja wapo ya mihimili mitatu inayounda serikali, ambapo mihimili mingine ni Bunge na Serikali Kuu.
  1. M

    Rais wa TLS aridhika hukumu ya mahakama dhidi ya maafande

    --- Rais wa TLS kupitia ukurasa wake rasmi wa Mtandao wa x ameandika chaisho linaoonekana likiunga mkono hukumu iliyotolewa kwa Nyundo, Askari wenzake dhidi ya Binti wa Yombo. Katika andiko hilo Mwabukusi ameandika: Justice at Last. Hii haswa ndiyo sehemu ya utawala wa sheria sina sababu ya...
  2. Roving Journalist

    Mapingamizi ya Mwijaku dhidi ya Masoud Kipanya kusikilizwa Oktoba 17, 2024 Mahakama Kuu

    Mahakama Kuu ya Tanzania Masijala Ndogo ya Dar es Salaam imepanga kusikiliza mapingamizi manne ya kisheria ya Burton Mwemba Mwijaku dhidi ya mashitaka ya kashfa ya Ally Masoud Kipanya mnamo tarehe 17 Oktoba 2024 mbele ya Jaji David Ngunyale. Amri hiyo ya Mahakama kuanza kesi ya mapingamizi...
  3. NAKUKUNDA TANZANIA

    Ajira za siri za mahakimu kutoka Tume ya Utumishi wa Mahakama

    Tangu kuanzishwa kwake, Tume ya utumishi wa mahakama imekuwa ikiajiri mahakimu kwa kufuata utaratibu wa michujo na kuwachagua wale waliofuzu kwa vigezo stahiki kupitia tangazo maalumu na la wazi. Lakini tarehe 20 Septemba 2024 Jaji Mkuu wa Tanzania, aliwaapisha mahakimu 22 ambao baadhi yao...
  4. NAKUKUNDA TANZANIA

    Ajira za siri za Mahakimu kutoka Tume ya Utumishi wa Mahakama

    Tangu kuanzishwa kwake, Tume ya Utumishi wa Mahakama imekuwa ikitangaza rasmi ajira za Mahakimu na kuwachagua wale waliofuzu na kukidhi vigezo stahiki kwa tangazo maalumu na kwa uwazi. Lakini hivi majuzi mnamo tarehe 20 Septemba 2024, Jaji mkuu ameapisha mahakimu 22 ambao baadhi yao...
  5. chiembe

    Sheria imzuie professa Juma kujenga ufisadi wa kitaasisi anaotaka kuujenga katika Mahakama

    Nimeshtushwa na kauli aliyotoa Prof Juma kwamba amepiga marufuku taasisi na viongozi wa nchi kuwapa ajira mahakimu na watumishi wa mahakama nje ya mahakama. Hii ni kauli ya hovyo kabisa aliitoa wakati akiapisha mahakimu 22 jana. Huyu Profesa ni zao la jalalani, asili yake sio Mahakama...
  6. Gemini AI

    Serikali yaiomba Mahakama iruhusu Akaunti ya X na Vifaa vya 'Boni Yai' viingiliwe kwa upekuzi

    Aiyekuwa meya wa Ubungo, Boniface Jacob, maarufu Boni Yai amesomewa mashtaka mawili ya kuchapisha taarifa za uwongo kwenye mtandao wake wa X (zamani Twitter), ambayo ameyakana. Serikali imewasilisha maombi mawili, kwanza mahakama imuamuru aruhusu vifaa vyake vya kielektroniki pamoja na akaunti...
  7. Waufukweni

    Diddy anyimwa dhamana na Mahakama, alitoa ofa ya bilioni 135

    Rapa na mfanyabiashara ‘Diddy’ ameripotiwa kunyimwa dhamana baada ya kudai kuwa Hana hatia katika mashtaka ya kingono yanayomkabili na hivyo ataendelea kubaki rumande hadi pale kesi yake itakapoanza kusikilizwa. Imeelezwa kuwa Diddy alitoa ofa ya dola milioni 50 (Tsh bilioni 136+) na...
  8. Roving Journalist

    Mahakama yawarudisha Askari Polisi waliotimuliwa kazi

    Mahakama Kuu Tanzania imewarudisha kazini askari polisi watatu waliokuwa wakifanya kazi uwanja wa ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam. Kesi hiyo namba 9432 ya mwaka 2024 iliyokuwa mbele ya Jaji Mtembwa, Mahakama Kuu Tanzania masijala ndogo ya Dar es Salaam ambayo inahusisha maaskari...
  9. econonist

    Kwanini Mahakama Maalum ya Katiba haijawahi kufanya kazi Tanzania?

    Nina swali kwa wadau wa JF. Ukisoma Ibara ya 125 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuna mahakama Maalum ya Kikatiba ilianzishwa, ila mahakama hiyo haijawahi kufanya kazi au kusikiliza shauri lolote. Je, ni sababu gani inazuia mahakama hiyo Maalum ya Katiba kutowahi kusikiliza...
  10. Ikaria

    Kaimu IGP Masengeli ahukumiwa kifungo cha miezi 6 jela kwa kudharau Mahakama

    Mahakama ya Juu imemhukumu Kaimu Inspekta Jenerali wa Polisi Gilbert Masengeli kifungo cha miezi 6 jela kwa kosa la kudharau mahakama. IGP alipuuza agizo la mahakama takriban mara 7 la kumtaka kufika mbele ya Jaji Lawrence Mugambi kueleza waliko watu watatu wanaodaiwa kutekwa na maafisa wa...
  11. Abdul Said Naumanga

    Dodoma: Mahakama Kuu Yabaini Upendeleo Kamati ya Taifa ya Maadili ya Mawakili, Yamtaka AG Kuacha Matumizi Mabaya ya Mamlaka

    Mahakama Kuu ya Tanzania masijala kuu ya Dodoma imebaini upendeleo katika muundo wa Kamati ya Taifa ya Maadili ya Mawakili (National Advocates Ethics Committee) baada ya Wakili Peter Madeleka kuwasilisha shauri la kikatiba akipinga wajumbe wa kamati hiyo, akidai wana mgongano wa kimaslahi...
  12. W

    Mahakama yamuamuru Sean ‘Diddy’ Combs kulipa Dola Milioni 100 kwa mwanaume aliyemshtaki kwa kumnyanyasa kingono

    Mwanaume aliyemshtaki Sean "Diddy" Combs kwa kumnyanyasa kingono katika sherehe iliyofanyika karibu miaka 30 iliyopita ameshinda kesi ya madai ya dola milioni 100, kulingana na ripoti ya Detroit Metro Times. Derrick Lee Cardello-Smith, mfungwa wa miaka 51 huko Michigan, alipewa amri ya muda ya...
  13. JanguKamaJangu

    Mahakama Kuu yatoa kibali kwa LSK na KHRC kuwasilisha ombi la mapitio KAA kukodisha JKIA kwa Adani

    Mahakama Kuu yatoa kibali kwa LSK na KHRC kuwasilisha ombi la mapitio ya kisheria kuhusu uamuzi wa KAA wa kukodisha JKIA kwa Adani kwa miaka 30. Mahakama pia imetoa amri za kuhifadhi ambazo zinakataza mtu yeyote kutekeleza au kufanya chochote kuhusu mapendekezo ya Adani kuhusu JKIA mpaka kesi...
  14. Tlaatlaah

    Kuna kila dalili na uwezekano Freeman Mbowe na Mchungaji Msigwa kumaliza tofauti zao nje ya mahakama

    Ama kweli siasa sio uadui, na hakuna uadui wa kudumu kwenye siasa.. Wabobevu na manguli wa siasa za Tanazania wameamua kujitosa na kuchukua hatua za kuingilia kati ugomvi wa kisiasa na kutuliza vita ya maneno, kashafa na tuhuma za kisiasa baina ya F. Mbowe mwenyekiti wa chadema taifa na...
  15. Suley2019

    Pre GE2025 Mahakama yatoa kibali Wadau wafungue Kesi kupinga Ofisi ya Rais-TAMISEMI kutosimamia uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Mahakama Kuu ya Tanzania leo September 09,2024 imesema kuwa waleta maombi kwenye shauri ambalo walikuwa wanaomba idhini ya Mahakama wana haki ya kufungua kesi kuhoji uhalali wa Sheria ndogo zilizotungwa kwa lengo la uratibu na uendeshaji wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa mwaka 2024 kupitia...
  16. M

    Watanzania wahimizwa kutumia Tume ya Mahakama ili kuthibiti maadili kwa wanasheria

    Mh Jaji Mkuu na Mtendaji Mkuu wa Makakama wamewahimiza Watanzania kutumia Tume ya Mahakama wanapotendewa vibaya na watendaji wa mahakama na wanasheria kwa ujumla. Hii nimeipenda maana kumekuwa na malalamiko ya kesi kutoamuliwa vyema na mahakama kuwa labda kuna rushwa au upendeleo, haya mambo...
  17. jingalao

    Huu mwenendo wa kutumia mahakama kudai watu mabilioni ni dhihaka dhidi ya chombo hiki-TUTAFAKARI!

    Kumekuwepo na wimbi au mwenendo wa wanasiasa au wanasheria au watu binafsi kujaribu kutumia Mahakama ndivyo sivyo. Yaani kupeleka mashauri yenye kuichosha mahakama au kuitumia kama chombo cha kisiasa au chombo cha kukwepa uwajibikaji. Hivi sasa imekuwa ni fasheni kuitumia mahakama kudai fedha...
  18. Superbug

    Je naweza kuishtaki mahakama?

    Wanasheria je naweza kuishtaki mahakama?
  19. BARD AI

    Tanga: Mahakama yazuia Dhamana ya Kombo Mbwana, ataendelea kubaki Rumande

    Baada ya mvutano wa siku kadhaa kuhusu dhamana ya kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mkoani Tanga, Kombo Mbwana, Mahakama ya Wilaya ya Tanga imeuhitimisha kwa kufunga dhamana yake. Uamuzi wa kufunga dhamana umetolewa Alhamisi, Septemba 5, 2024 na Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya...
  20. R

    Mahakama Kuu strikes again- Yatupilia mbali kesi ya watu 120 wanaopinga kuhamishwa kupisha hifadhi Mbeya- wakitetewa na Mwabukusi

    Mwabukusi apigwa na kitu kizito! Mwendo ule ule! kama wa Dyansobera! Mwenye kujua kimombo asome mwenyewe Kesi imetupiliwa mbali kwa vile eneo bishaniwe halikuwekwa bayana kuweza kulitambua ukubwa wake MY POINT IS: Bila kificho, High court ni kituko , takataka tupu! NI SERVANT OF THE EXECUTIVE...
Back
Top Bottom