Mahakama ni chombo kinachotafsiri na kutumia sheria katika kutoa haki. Ni moja wapo ya mihimili mitatu inayounda serikali, ambapo mihimili mingine ni Bunge na Serikali Kuu.
Hii ndio inaitwa "mockery of justice" Yanga wamepeleka kesi Mahakamani 17/7/2024, hakuna hati za wito kwenda kwa Magoma na wenzake ili waitwe, wasikilizwe, leo 19/7/2024 Hakimu, tena wa level ya Principal Resident Magistrate, katoa uamuzi, yaani imechukua chini ya saa 24. Hajamuita mshitakiwa...
Kufuatia sakata la Viongozi wa Yanga kutakiwa kuachia madaraka baada ya baadhi ya Wazee wa Club hiyo kushinda kesi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Wakili wa Mahakama kuu Dedan Kapongo ametolea ufafanuzi wa kisheria kuhusu tuhuma zilizosemwa na Mkurugenzi wa sheria wa Yanga kwamba Wazee...
Hukumu hii ni ya kutotambulika kwa Baraza la Wadhamini la klabu hiyo kufuatia hukumu iliyotolewa Agosti 2, 2023 na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
Hukumu inatokana na kesi ya msingi iliyofunguliwa Agosti 4,2022 na walalamikaji Juma Ally na Geoffrey Mwaipopo, wakitaka kutotambulika kwa Baraza...
Tangu nimeanza kushabikia mpira sijawahi kuona kesi ya mpira inaperekwa kisutu,
Ingekuwa mambo yanaenda hivyo Feitoto angeenda kisutu.
Kuna TFF na Bodi ya ligi kuu ndio zenye mamlaka kisheria kusimamia kanuni za soka na mambo yote ya mpira, ndio yenye mamlaka ya kuamua haki iwapo kutakuwa na...
Sitawapotezea muda wenu kuwaelezea umuhimu wa taasisi ya Mahakama katika jamii na nchi yoyote ile. Hii taasisi ina heshma yake ambayo haitakiwi mtu au taasisi yoyote kuichezea, kuidhihaki, kuidharau wala kuitukana.
Kwa hiki kinachoendelea siku hizi mbili na kauli za viongozi wa Yanga akiwemo...
Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imemruhusu wakili Boniface Mwabukusi kufungua shauri la marejeo ya uamuzi uliomwengua kwenye orodha ya wagombea urais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS).
Hata hivyo, imekataa ombi la kusimamisha mchakato wa uchaguzi huo ambao sasa utaendelea kama...
jana kuna taarifa zimesambaa sana kwenye mitandao ya kijamii ikimuhusisha kiongozi wa klabu enginer hersi said wa yanga dhidi ya uamuzi wa mahakama ya kisutu,uamuzi huo umeibua taharuki kwa viongozi,mashabiki na wanachama mpaka kupelekea sitonfahamu na mashambulizi kwa mzee magoma kutishiwa...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Jijini Dar es salaam, imeamuru Uongozi wa Club ya Yanga ukiongozwa na Rais wa Yanga Injinia Hersi Saidi na wenzake, kuachia ngazi na kuondoka kwenye Club hiyo kwakuwa Katiba ya Yanga haitambui uwepo wao.
Imedaiwa kuwa uamuzi huu wa Mahakama umekuja baada ya Kundi...
Pigo jingine kwa Rais Ruto baada ya Mahakama Kuu kutangaza Sheria ya Bima ya Afya ya Jamii ya mwaka 2023 kuwa kinyume na katiba. Sheria hii ilikuja baada ya NHIF kuondolewa, bima ambayo Wakenya wengi wamekuwa wakiitaka irejeshwe.
Delhi: A court in the United Arab Emirates Wednesday convicted 53 defendants after finding them guilty of terror offences, with punishments ranging from fines of up to AED 20 million ($5.4 million) to life imprisonment.
The defendants, according to local media, are leaders or members of the...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam imeitahadharisha Jamhuri kutokana na kukwamisha usikilizwaji wa awali wa kesi inayomkabili mfanyabiashara na mwanasiasa, Boniface Jacob na mwenzake, mwanaharakati Godlisten Malisa, ikisema inatoa ahirisho la mwisho.
Jacob, maarufu Boni Yai...
Habari,
Machafuko ya Kenya yanatikana na ubabaishaji wa mihimili miwili ya Bunge na Mahakama.
Mahakama za Afrika zote hazisimamimii haki na zinaongizea kwa chuki na uonevu chini ya sheria za kurithi kutoka ukoloni zilizokandamizi hivyo kutumika kuwaonea wanyonge waliowengi kwa kisingizio cha...
Ni kama ndoto ya usiku wa manane, nazishuhudia zile siku nzito zisizosahaulika za kampeni za wabunge na urais mwaka 2015 , namshuhudia Hayati Dkt John Pombe Magufuli, akimwaga sera zake za kuomba kuchaguliwa kuwa rais, ana iahidi Tanzania na ulimwengu kuwa akichaguliwa tu, ataanzisha mahakama...
Rais Joe Biden amesema ataheshimu uamuzi wa Kisheria wa Mahakama baada ya mwanawe kupatikana hatia katika Makosa Matatu ya uhalifu wa bunduki ambaye anakabiliwa na kifungo cha hadi Miaka 25 jela
Jopo la Majaji 12 lilimkuta Hunter Biden (54) na hatia ya kusema uwongo kuhusu matumizi yake ya...
Chama cha Umkhonto we Sizwe (MK) kinachoongozwa na Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Jacob Zuma kimewasilisha maombi katika Mahakama ya Katiba kuzuia kikao cha kwanza cha Bunge kinachotarajiwa kufanyika Ijumaa Juni 14, 2024 kwa lengo la kuapishwa Wabunge, kufanya Uchaguzi wa Spika na Naibu Spika...
Mahakama ya Ushindani na Haki za Watumiaji Huduma (CCPT) ya Nigeria, imeitoza kampuni ya Matangazo ya Televisheni ya MultiChoice takriban Tsh. Milioni 282.56 pamoja na kuwapa Wateja wake Kifurushi cha Matangazo ya mwezi mmoja bila malipo.
Uamuzi huo unafuatia malalamiko ya Wateja wa MultiChoice...
Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu iliyoko jijini Arusha imeiamuru Tanzania kuondoa adhabu ya kifo kutoka kwenye sheria zake ndani ya muda wa miezi sita kuanzia sasa.
Uamuzi huo umefikiwa kufuatia ombi lililowasilishwa na mlalamikaji Dominick Damian dhidi ya Jamhuri ya Muungano ya...
Wakati mwingine, lugha ngumu na utaratibu za kisheria zinaweza kufanya haki ionekane kama kitendawili. Kesi ya kijana Selemani inatupa somo muhimu: makosa madogo ya kisheria yanaweza kuleta madhara makubwa.
Shortly, Selemani alishtakiwa kwa makosa ya unyang’anyi na ubakaji wa binti bikra kutoka...
Naomba kujua, hivi ikitokea kuna vikundi viwili vinashtakiana mahakamani na kikundi kimoja kikashindwa na kingingine kilichoshindwa kikakaidi kutumia hiyo hukumu, na kushirikiana na wizara wanaendelea kuvunja hiyo hukumu.
Nini kinachoweza kufanyika ili kuondoa huu mkorogo?
Hasa vikundi vya dini.
Anonymous
Thread
hukumu mahakamani
mahakama
ushauri mahakamani
ushauri wa kisheria
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.