Mahakama ni chombo kinachotafsiri na kutumia sheria katika kutoa haki. Ni moja wapo ya mihimili mitatu inayounda serikali, ambapo mihimili mingine ni Bunge na Serikali Kuu.
Mlio Dar fikeni kwa wingi!
Polsi tusiwalaumu, huenda kuna amri toka kwa wakubwa zao kuwa washikilie/waue. Kama IGP, Waziri Masauni, and all other top authorities wamekaa kimya, means wanahusika na amri hizi!
Mahakama Kuu Kanda ya Arusha imesimamisha utekelezaji wa amri iliyokuwa imetolewa na Serikali kupitia tangazo la Serikali namba 673 ya 2024 la kufuta vijiji, kata na vitongoji pamoja na kusitisha tangazo la kuwataka Wananchi kuhama katika Wilaya la Ngorongoro.
Umuamuzi huo umetolewa leo August...
Mahakama ya wilaya ya Ruangwa imemhukumu Juma Saidi Selemani almaarufu kama Dj Mushizo (23) mkazi wa Kijiji cha Nandanga wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi kwenda jela kifungo cha maisha kwa kosa la kubaka mtoto mwenye umri wa miaka minne.
Hukumu hiyo ya kesi ya Jinai namba 3071/2024 imetolewa na...
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limeiomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam kuiondoa Mahakamani kesi ya Madai Namba 14708 ya 2024 iliyofunguliwa na Kocha Liston Katabazi ambaye anaidai fidia ya Shilingi 700,000,000 kutokana na TFF kuchapisha taarifa ya kufungiwa maisha...
Habari wana JF, jana kulifanyika usaili wa Mchujo kwa kada mbalimbali za Utumishi wa Mahakama. Mwenye ufahamu jinsi ya kujua kama umechaguliwa juu kwenye Oral maana naona kimya halafu sielewi taarifa nizipate wapi.
Mahakama ya malindi imemuruhusu Mkurugenzi wa mashtaka ya Umma DPP) kuondoa kesi ilyokuwa inaendelea inayohusisha kiasi cha cha billion ksh 8.5 za chuo cha Utalii dhidi ya aliyekuwa waziri wa utalii kenya Najib Balaa na wengine 14.
Kesi ya ufisadi ya aliyekuwa Waziri wa Utalii Kenya Najib...
Salaam, Shalom!!
TUNDU Antipas Lissu amekuwa akirudia sana kuwa mtu aitwaye Abdul,amewahi kumfuata na kutaka kumhonga na kushindwa kutimiza Nia hiyo Kwa Lissu.
Lissu amekuwa akirudia mara Kwa mara jambo hili, Jana tena amesema akihojiwa na Ndugu Odemba Star tv.
Sasa ni muhimu Ndugu Abdul...
Mahakama ya Rufani ya Tanzania imebariki hukumu ya kunyongwa hadi kufa kwa washitakiwa watatu, Ibrahim Abubakar, Salima Abubakar, na Hadija Shio, ambao walikutwa na hatia ya kumuua kikatili aliyekuwa mjumbe wa nyumba kumi huko Kibosho Kirima, Moshi - Kilimanjaro, Mrh. Titus Sebastian Kimaro...
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Rajabu Abdukahali Ibrahim almaarufu Harmonize ametiwa hatiani na mahakama kuu divisheni ya biashara tarehe 2 mwezi huu wa 8 kwa kushindwa kulipa kikamilifu mkopo wa kiasi cha shilingi milioni 300 alizokopa katika benki ya CRDB mwaka 2019.
Mkopo huo uliokuwa na...
Tarehe 13.08.2024 majira ya 12:20hrs huko katika Mahakama ya Wilaya ya Kisarawe, Mkoa wa Pwani, Seleman Mzirai Kibiki, Miaka 49, Fundi magari na Mkazi wa Kiluvya, Kisarawe alijinyonga akiwa mahabusu ya Mahakama akisubiri kupelekwa gerezani mara baada ya kutiwa hatiani.
Marehemu alihukumiwa...
Utajiri wa nchi yetu ni mkubwa ktk rasilimali mbalimbali kama misitu,madini,Mafuta na Gesi.
Mikataba ya siri mingi tulioingia na wawekezaji mingi imekuwa na matobo ya kutuadhibu inapotokea tumevunja,kusitisha ama vinginevyo..
Inavyoonekana mapungufu ya kimkataba yamekuwa yakichukuliwa kama...
Mchoraji wa katuni maarufu nchini Tanzania na kimataifa ambaye pia ni mbunifu na mtangazaji wa vipindi vya redio na televisheni vyenye mvuto mkubwa kwa jamii, Bw. Ally Masoud Nyomwa anayejulikana zaidi kwa jina la Masoud Kipanya (KP), amafungua mashitaka Mahakama Kuu ya Tanzania (Masjala Ndogo...
Wadau wa Sheria,Iko hivi Mimi kama msimamizi wa mirathi,nilifatilia mpaka Hela zikawa zimetumwa kwenye akaunti ya mahakama, warithi wakajaza zile form za mgao,tukambiwa tusuburi Hela zitaingia kwenye hizo akaunti za warithi
Swali? Je inachukua muda gani mpaka mahakama kuingiza hizo pesa kwa...
Wanabodi
Kama kawa, kila nipatapo fursa, huja na makala zangu elimishi za Kwa Maslahi ya Taifa, zenye swali, hoja na majibu utaweka mwenyewe. Hoja ya leo ni kuhusu usikivu wa Rais Samia, hakuna ubishi ni msikivu, vipi serikali yake, ni serikali sikivu? Bunge lake ni Bunge sikivu, na Mahakama...
Jaji wa Mahakama Kuu, Abena Afia Serwaa, amekubali ombi la polisi la kuzuia maandamano ya vijana yaliyopangwa kufanyika kati ya Julai 31 na Agosti 6, 2024, kutokana na uhaba wa maafisa wa polisi wa kusimamia usalama.
Baadhi ya sababu za maandamano hayo ni kupinga rushwa katika taasisi za umma...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imepanga Agosti 29, 2024 kuanza kusikiliza ushahidi wa kesi ya kuchapisha taarifa za uongo kwa lengo la kupotosha umma, inayomkabili meya wa zamani wa Manispaa ya Ubungo, Boniface Jacob (42) maarufu kama Boni Yai.
Mbali na Jacob, mshtakiwa wa pili katika kesi...
Salaam wakuu,
Mara nyingi tumekuwa tukisikia kuwa watuhumiwa fulani wamesomewa Mashtaka lakini hawakupaswa kujibu CHOCHOTE kwa kuwa Mahakama waliyopelekwa haina uwezo/mamlaka ya kusikiliza kesi husika.
Kwa mifano hai wengi tunatambua kuwa Mahakama Kuu ndio imepewa nguvu, uwezo/mamlaka ya...
Leo huku ya shauri alilofungua Maambukusi imetoka. Wakati kesi hii inaanza hadi inamalizika vyombo vyote vikubwa vya habari nchi vilijiweka mbali na viunga vya Mahakama.
Hakuna chombo kinachofafanunua chanzo cha kesi, hoja na utetezi uliotolewa. Hakuna chombo kinachofahamu TLS iliwakiulishwa na...
Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetoa hukumu ya kesi ya madai ya mwanamuziki Lameck Ditto dhidi ya Kampuni ya Multchoice Tanzania Limited maarufu DStv, uamuzi ambao haujaacha kicheko kwa mlalamikaji.
Ditto ambaye jina lake halisi ni Dotto Bwakeya alifungua kesi ya madai mahakamani hapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.