Mahakama mnaisikia jamii inavyosema juu yenu?

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
25,982
Reaction score
51,157
Watanzania kwa hofu wanaongea kama wananong'ona lakini wakisemacho kuhusu mahakama ya Tanzania kinatoa mwangwi wenye kishindo.

Jee mahakama inasikia wakisemacho wananchi kuhusu uhuru na weledi wa mhimili huo kwenye kufanya maamuzi yenye maslahi kwa Taifa letu?
 
Shida iko kwa anayeisimamia hiyo mahakama
 
Watanzania kwa hofu wanaongea kama wananong'ona lakini wakisemacho kuhusu mahakama ya Tanzania kinatoa mwangwi wenye kishindo.

Jee mahakama inasikia wakisemacho wananchi kuhusu uhuru na weledi wa mhimili huo kwenye kufanya maamuzi yenye maslahi kwa Taifa letu?
Rostam alishasema kuhusu utendaji wa hizi mahakama za Tz...
 
Watanzania kwa hofu wanaongea kama wananong'ona lakini wakisemacho kuhusu mahakama ya Tanzania kinatoa mwangwi wenye kishindo.

Jee mahakama inasikia wakisemacho wananchi kuhusu uhuru na weledi wa mhimili huo kwenye kufanya maamuzi yenye maslahi kwa Taifa letu?
Uhuru wa Mahakama unapimwa kwa Kesi moja ya Tobo Lissu?
 
Back
Top Bottom