Shule ya msingi iliyo karibu na Halmashauri ya Kahama na Mahakama siku watoto wakifa mnataka mueleze vipi.

Shule ya msingi iliyo karibu na Halmashauri ya Kahama na Mahakama siku watoto wakifa mnataka mueleze vipi.

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
6,007
Reaction score
15,216
Nimepata kupita kikazi hapa Kahama.Ila sipendi kupita kama raisi au viongozi wanavyo tufanyia sisi wananchi wa chini.

Kuna shule hapa Kahama ipo harmashauri ya Kahama, Mahakama na nyuma ya kanisa Katoliki. Kiukweli hapa nyuma kuna wachimba mawe na kupasua kokoto na kuna mashimo na makorongo makubwa ambayo yana njia watoto kufika shuleni. Wakazi wa kahama kama mnaona ni jambo zuri sababu ya riziki.
Kazi kwenu.
 
Nimepata kupita kikazi hapa kahama.Ila sipendi kupita kama raisi au viongozi wanavyo tufanyia sisi wananchi wa chini.

Kuna shule hapa kahama hipo harmashauri ya kahama,mahakama na nyuma ya kanisa la roma.Kiukweli hapa nyuma kuna wachimba mawe na kupasua kokoto na kuna mashimo na makorongo makubwa ambayo yana njia watoto kufika shuleni. Wakazi wa kahama kama mnaona ni jambo zuri sababu ya riziki kazi kwenu.
CCM inapenda sana damu za watu, ni swala la muda tu, watainywa
 
Back
Top Bottom