NB: Nina Akili Ndogo Sana.
Wadogo zangu wa shule za kata, ninaangalia sana videos zenu zinazo trend kula Facebook na Instagram mkifurahia kuwa huru na kurudi mitaani kufanya mambo yenu freely (Delinquent Juveniles)
Tii sheria za nchi (Tanzania) bila shurti. Mkuu wa upelelezi (OC-CID) wale ni...
Mfumo wa SIS (School Information System) unatumika na Wakuu wa shule kujaza wanafunzi hewa (walioacha shule/kufukuzwa/wasioripoti) wote wanawekwa na hawaondolewi kwenye mfumo ili wapate hela nyingi kupitia mfumo wa FARRS.
Wengine wanaenda mbali zaidi, wanawachangisha wazazi michango ya walimu...
Kwa: Mamlaka Husika (TAKUKURU, TAMISEMI na Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga)
Ninaomba mamlaka husika ifuatilie na kuchunguza malalamiko kuhusu Shule ya Sekondari Kazole, iliyopo mkoani Pwani, Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga.
Kwa mujibu wa malalamiko haya...
Anonymous
Thread
fomu
kazole
mkoa
mkoa wa pwani
pwani
rushwa
saini
sekondari
shuleshule ya sekondari
walimu
wazi
wilaya
Wanafunzi wanaoshangilia kumaliza shule kama wendawazimu wehu mpaka wanatukana hovyo inawezekana pia ni dalili ya kwamba kusoma shule za umma ni mateso na wengi wanaosoma huko hawafurahi wala hawapendi ila wanalazimishwa tu.
Moja kwa moja..
Niimeona video inayoTrend ya Wanafunzi wa Kike wakifanya vitendo vya hovyo, kutukana na kusema "ficheni mabwana zenu " walivyokuwa wajinga zaidi walionyesha nembo yao ya shule na namba zao za mitihani hapo ndipo watu wakatafuta jina la shule jibu likaja ni "Aboud Kumbe...
Pumzika kwa Amani Joram Nkya, ulianzia kazi Azaboy ukawa mwalimu wangu mwema,baadae nikapata taarifa uliamia mnazi mmoja na mpaka umauti unakukuta ulikuwa mwalimu Mkuu.
Sidhani kama hapa ukitumia jina lako halali ila najua ulikuwa member kabisa kindaki ndaki.
Wasalimie Wanaccm...
Moja kwa moja ;
Tunapozungumzia Millennials tunamaanisha wale waliozaliwa kuanzia 1981 mpaka 1996 , kumekuwa na trending ya kulaumu watoto katika mmomonyoko wa maadili na kusahau chanzo kikuu ambacho ni wazazi wao .
Millennials wengi ndio wamezaa watoto waliozaliwa kuanzia 2010 walioanza...
Kuna mda mwengine hata katiba na sheria za hapa tanzania zinapitiwa juu kwa juu.
Nimeona ile video wakijitamba wale watoto wengine mambo ya kubeti,wengine kuingia rasmi na mambo kudanga.
Ukiangalia kisheria wale washafikisha umri wa 18.
Na umri ule anauwezo wa kuoa,kuolewa,kufanya kazi na...
Ndugu zangu Watanzania,
El Niño maana yake ni nini?
El Niño ni hali ya mabadiliko ya hali ya hewa inayotokea pale maji ya bahari ya Pasifiki katika ukanda wa ikweta yanapokuwa na joto zaidi kuliko kawaida. Hali hii hubadilisha mifumo ya mvua na joto katika maeneo mbalimbali duniani, ikiwemo...
Choo cha shule yetu kilikuwa na sifa ya majini, ukianza shule tu unaambiwa na wanafunzi wenzio uliowakuta kule chooni kuna majini, hutakiwi kwenda mchana wa jua kali peke yako, ukienda yanakunyonya damu.
Hali hiyo ilitufanya tuishi kwa hofu, ikitokea umebanwa haja mchana unalazimika kumaliza...
Tunaamini kabisa hapa Jamii forum watu Wana taarifa za kutosha na sahihi zaidi, Sasa Kwa watoto kabla ya Primary chini ya miaka 6, je Kwa Mkoa wa Dodoma ipi ni Shule nzuri zaidi , tatu za juu, mana Naona Shule ni nyingi Sana sasa nashindwa kukupa ipi ni Bora.
Kuna waday wametaja Dt.max, Almes...
Nimepata kupita kikazi hapa Kahama.Ila sipendi kupita kama raisi au viongozi wanavyo tufanyia sisi wananchi wa chini.
Kuna shule hapa Kahama ipo harmashauri ya Kahama, Mahakama na nyuma ya kanisa Katoliki. Kiukweli hapa nyuma kuna wachimba mawe na kupasua kokoto na kuna mashimo na makorongo...
Maswali alioa kua anaulizwa jihan ndio Yale tulio ya DHARAU mwanzo, issues za civics mfano life skills, hizo mambo tulikua hatugusi tunapiga chini heee kumbe DILI.
Walio soma science subjects, Kuna namna hawana uwezo wa kujieleza duniani huko arts subjects tuliwachukulia poa ila wako vizuri...
Wakati wa mbio za Mwenge wa Uhuru mkoani Morogoro, nilibahatika kufika katika Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga, ambako nilikutana na jambo lililonishangaza sana.
Kuna shule iliyopo mjini Mahenge ambayo ndani ya eneo lake kuna wananchi wanaoishi katika baadhi ya majengo yanayodaiwa kuwa...
Anonymous
Thread
eneo
eneo la shule
halmashauri
inawezekana
kuuza
ndani
shule
vipi
Naishi Mkoa wa Singida, naomba kuwasilisha changamoto zinazowakabili wanafunzi wa Kidato cha Tano na Sita katika MUNGUMAJI SECONDARY SCHOOL, Singida Mjini. Mdogo wangu alifaulu kujiunga na shule hiyo, lakini mpaka sasa amekataa kabisa kuendelea na masomo pale na amekuwa akitaka ahamishwe...
Anonymous
Thread
chakula
sekondari
shida
shuleshule ya sekondari
singida
vizuri
wanafunzi
Mkurugenzi Kondoa apinga upotoshaji kuhusu miundombinu shule ya msingi Hurumbi
Na MWANDISHI WETU, KONDOA
MKURUGENZI wa Halmashauri ya Mji wa Kondoa, Said Majaliwa, amepinga taarifa iliyosambazwa kwenye mtandao wa kijamii wa chombo cha habari cha Mwanahabari, ikidai kuwa Shule ya Msingi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.