Wanaona wachezesha makalio mitandaoni na waimba matusi mitandaoni wanapata deals,wanapata hela,wanatumiwa na makampuni kwenye matangazo,wanaonekana ni watu maarufu na kuthaminiwa zaidi,
Hivyo hawa watoto nao wanajifunza huko,
kabla ya kuwalaumu hawa watoto,lawama kwanza ziende kwa wazazi na jamii nzima,kama hiyo kubet hata watu wazima wanabet,watu wazima wanachukua waume za watu au wake za watu,jamii nzima ina tatizo,hao watoto ni matokeo ya malezi tu au matokeo ya jamii iliyo wazunguka,
Counting other people sins,does not make you a saint,kila mtu ajitafakari na kuchukua hatua,if you want to change the World,go home and love your family.