Nataka Kufahamu Shule Bora kw watoto Mkoa w Dodoma

Nataka Kufahamu Shule Bora kw watoto Mkoa w Dodoma

ubarinolutu

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2012
Posts
2,850
Reaction score
6,030
Tunaamini kabisa hapa Jamii forum watu Wana taarifa za kutosha na sahihi zaidi, Sasa Kwa watoto kabla ya Primary chini ya miaka 6, je Kwa Mkoa wa Dodoma ipi ni Shule nzuri zaidi , tatu za juu, mana Naona Shule ni nyingi Sana sasa nashindwa kukupa ipi ni Bora.

Kuna waday wametaja Dt.max, Almes, Canon adrea, fountain, st.mary, Feza, Martin Luther sasa japo zote ni Shule lakini zipi ni Bora zaidi, kwasababu naamini Mazingira zinatofautiana Sana, na walimu pia zinatofautiana. Na vipi kuhusu Ada zake, zinaeleweka au ndo balaa
 
Mtoto kama ni fala atabaki kuwa fala tuu hata asome mbinguni
 
Mtoto kama ni fala atabaki kuwa fala tuu hata asome mbinguni
Kidumu na Ufagio, najua Shule Moja Dodoma ya serikali inaitwa Shule ya msingi Mlezi, yenyewe inachukua watoto wenye changamoto, kama mtindio
 
Back
Top Bottom