shule

  1. Bushmamy

    Hali ngumu ya maisha ya nyumbani ndo ilisababisha mwanafunzi kutaka kuacha shule

    Baada ya kufuatilia tukio zima la mwanafunzi wa darasa la sita kuchapwa na mwalimu wake hadi kuumia mkono, huko mkoani kilimanjaro nimegundua mambo kadhaa toka kwenye familia yake Familia anayotoka ni duni sana ,mama yake anafanya vibarua vya kufua kwa watu japo sio mara zote hupata kibarua...
  2. Mganguzi

    Patandi maalum shule ya wanafunzi wenye mahitaji maalumu wasiopatiwa lishe stahiki. Wanakula vyakula visivyoendana na afya zao serikali iimulike!!

    Shule hii ilijengwa ama ilianzishwa na rais john pombe magufuli ! Ni shule iliyobeba wanafunzi wenye ulemavu mchanganyiko ! Ukipata bahati ya kuitembelea unaweza kuangua kilio kulingana na Hali ya wanafunzi ilivyo ! Wako wasio sikia viziwi)wasioona vipofu) walemavu wa viungo wanaotembea kwa...
  3. Famous Gemini

    Kilichotokea baada ya kuota Niko shule

    Sina Maneno Mengi ilaaaa.... Baada Ya Ndoto Ya Kuota Niko Darasani Karibia Kila Siku Kwa Takribani Mwezi Kilichotokea Ni Hasara Kubwa... Kupoteza Pesa Sehemu Flani Nlipowekeza,Kufeli Kwa Jambo Muhimu Aisee Ni Noma. Sasa Siku Ya Pili Mfululizo Naota Nachomwa Kisu. Naogopa Sasa Ndoto za ajabu aisee
  4. L

    Shule nitapoteza hela zao tu

    Habari za wakati kama huu wanajamvi!!! Kama inavyosomeka hapo juu hayo ni majibu ya kijana mmoja kutoka kilimanjaro ambae ana umri wa miaka 14 akifanya kaz ya kuuza duka moja hapa jijini Dar. Jioni moja nikiwa najirudisha zangu nyumbani kutoka kwa rafiki yangu mmoja hapa jijini nkasema niingie...
  5. Lavit

    Wakuu msaada shule nzuri ya private kwa primary!

    Mwenye kujua shule ya private maeneo ya kimara mpaka mbezi, kama nitajua na ada yake kwa mwaka itakuwa vizuri. NB: shule za karibu za government nilizojaribu kuzifatilia naona mazingira sio mazuri sana , kwahiyo mtu asije na ushauri wa nimpeleke mtoto Kayumba!
  6. MKATA KIU

    shule nyingi za msingi zinachaji ada milioni kazaa ila zinazidiwa ubora wa miundombinu na ufundishaji na shule za msingi za serikali kama MiKONGENI

    huu ni ukweli mchungu. tazama mwenyewe video uone ubora wa shule hii ya msingi ya serikali wanaiita kayumba english medium. inayoitwa Mikongeni primary school iliyopo gongo la mboto dar kisha linganisha na private primary school iliyo jirani na unapoishi ilivyo ama shule ya private...
  7. S

    Shule za A'level Dodoma

    Habari wananzengo Natafuta shule zinazofanya vizuri A'level zilizopo Dodoma, zenye maadili pia, mchepuo wa HGE, ikiwa ya mchanganyiko itakua vizuri zaidi, ninaijua moja tu st.Peter claver basi, naomba mnisaidie nipate list angalau hata shule tatu nne then nione nafanyaje . Nashukuru sana!
  8. MKATA KIU

    Dar kuna shule za msingi za serikali nyingi sana zimebadilishwa kuwa english medium. Tusikariri Olimpio tu. Mpeleke mwanao ya karibu na unapoishi

    Wazazi wengi wanahangaika kupeleka watoto olimpio tu. Huku wanaishi mbali na mjini. Hizi ni baadhi ya shule za msingi za serikali zilizobadilishwa kuwa english medium. Ambazo sijazitaja , sizijui naomba wengine mzitaje ili wote tuzijue 1. Chang'ombe Duce primary school ipo ndani ya Duce...
  9. F

    Anataka kuwahamishia watoto wake olympio. Walikua shule ya private. Anauliza apange nyumba sehemu gani ili iwe rahisi kwa watoto wake kwenda shule

    Anataka kuwahamishia watoto wake olympio. Walikua shule ya private. Anauliza apange nyumba sehemu gani ili iwe rahisi kwa watoto wake kwenda shule Maoni na ushauri wako please
  10. Rorscharch

    Wazazi Mnaosomesha Watoto Shule za Private jifunzeni kufanya tathmini ya Pesa mnayowekeza katika Elimu hiyo na matokeo yake (Hawatazeekea Nyumbani)?

    Katika kila jamii, elimu hupewa nafasi ya kipekee kama nyenzo ya kufanikisha maendeleo ya mtu binafsi na taifa kwa ujumla. Wazazi huwekeza kwa gharama kubwa kuhakikisha watoto wao wanapata elimu bora, wakiamini kuwa elimu ni ufunguo wa maisha bora. Lakini swali la msingi linabaki: Je, uwekezaji...
  11. Ojuolegbha

    Shule za michepuo ya Elimu ya Ufundi zilizoboreshwa zimeongezeka kutoka shule 9 mwaka 2020 kufikia shule 27 mwaka 2024

    Shule za michepuo ya Elimu ya Ufundi zilizoboreshwa zimeongezeka kutoka shule 9 mwaka 2020 kufikia shule 27 mwaka 2024. Hii ni katika kuhakikisha elimu ya ufundi inafundishwa katika hatua za mwanzo za mwanafunzi akiwa shuleni. Pakua Samia App kupitia Play Store au App Store. #samiaapp...
  12. Roving Journalist

    RC Chongolo awaambia Wakazi wa Mbozi "Msitumikishe Watoto kwa kazi za shamba, wapelekeni Shule"

    Mkuu wa Mkoa huo, Daniel Chongolo amewataka Wakazi wa Wilaya ya Mbozi kuacha tabia ya kuwatumikisha Watoto katika kazi za shamba badala yake wawapeleke Shule ili wapate elimu itakakayowasaidia kujiandaa na ushindani wa soko la ajira. RC Chongolo amejulishwa kuwa Wilaya hiyo ina wastani wa...
  13. M

    Mshahara laki 8 ili upate maendeleo inatakiwa watoto wasome shule za serikali. Tazama huyu baba anavyoteseka

    kama huna njia nyingne za kujipatia pesa hata ujifunge mkanda hutakaa hujenge had watoto wamalize shule
  14. kijana wa leo

    Kampuni ya Barick imeshindwa kulipa Wakandarasi, wazabuni na mafundi walitekeleza miradi ya ujenzi wa Madarasa, Mabweni na Vyoo katika shule t nchini

    Mnamo mwezi wa nne mwaka 2024, Kampuni ya kuchimba madini ya Barick walitoa barua kupitia wizara ya TAMISEMI kuwataarifu juu ya kufadhili ujenzi wa madarasa, mabweni na vyoo katika shule mbalimbali nchini. Serikali kupitia kwa wakuu wa shule na wakurugenzi wa halmashauli zote zilizopokea barua...
  15. J

    Kwa matokeo haya naweza kwenda advance kwenye shule za serekali na kwa kozi gani?

    Habari zenu wapendwa mimi nimemaliza form four mwaka wa jana matokeo yametoka mwaka huu sasa nilikuwa na omba kuuliza kwa matokeo haya naweza kuchaguliwa kidato cha tano katika shule za serikali na kama ndio kwa combination gani ? matokeo yenyewe ni MATHEMATICS (C) , CHEMISTRY (C) , BIOLOGY (C)...
  16. JanguKamaJangu

    TAKUKURU Singida yabaini madudu miradi ya ujenzi wa Shule Singida, Kodi ya Zuio kutopelekwa TRA

    TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Singida imebaini madudu katika miradi inayotekelezwa katika halmashauri za mkoani hapa ambapo Kodi ya Zuio (Kodi ya Huduma) imekuwa ikikatwa lakini haiwasirishwi katika Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA). Mkuu wa TAKUKURU - Singida...
  17. Down To Earth

    Shule gani nzuri ya kiislamu? nataka kumpeleka mwanangu

    Naomba ufafanuzi ni shule gani yenye ufaulu mzuri kwa ngazi ya O level naweza mpeleka mwanangu? Nisaidieni hapa wadau
  18. Eli Cohen

    Hii helicopter mpya ya Iran mbona ni kama imeundwa na mtoto wa shule ya msingi kwa kutumia mabox

    Naona wana maono ya uhakika kabisa kuivamia washington na tel aviv na mabox, hongera sanaa kwao.
  19. Stability

    Kwa muda mrefu sasa Naota sana kurudishwa kurudi shule, kama leo nimeota nachapwa parade

    Kiuhalisia maisha yangu yamegubikwa na kutopiga hatua ya maana, ukataa wa muda mrefu na kunung'unika sanaa kutokana na shughuli za kimaendeleo kutolipa. Nikianzisha kitu huwa hakitimii kwa matunda mazuri ingawa Mungu kanjalia ubunifu. Nimesikia mengi kuhusu hzi ndoto,. Je zina maana yoyote ile...
  20. jerryempire

    Natafuta coster 17 za kukodi kwa ajili ya shule mkataba mwaka mmoja

    Habari. Tunatafuta gari aina ya coaster ziwe gari 17 pamoja na hiace moja kwa ajili ya kuwachukua wanafunzi shuleni na kuwarudisha nyumbani. Hivyo basi tunahitaji kampuni moja yenye kuweza kumanage huu mkataba ambayo itakuwa na uwezo wa kuwa na gari zote hizo 17 na hiace 1. Mkataba ni mwaka...
Back
Top Bottom