Bila huruma, kuona haya wala aibu,Sababu kubwa imekuwa ni mwanya wa kubandikia wanasiasa kesi ambazo hazina maana na kunyima haki watanzania.

HESABU ZA NAMBA KUTAFSIRI MATUKIO YAJAYO BIBLIA IKIHUSIKA. NI HIVI;Mithali 29:1.
“Wenye haki wakiwa na amri, watu hufurahi; Bali mwovu atawalapo, watu huugua".
Mahakama haikalmati wtuhumiwa wala hazileti kesi, bali inaletewa na ni kazi yake kusikiliza. Pia ni jukumu la mleta kesi na watuhumiwa kuithibitishia Mahakama kuwa wana makosa na ni jukumu la watuhumiwa kuithibitishia Mahakama kuwa hawana hatia. Mahakama kaI yake ni kuamua.Sababu kubwa imekuwa ni mwanya wa kubandikia wanasiasa kesi ambazo hazina maana na kunyima haki watanzania.