mkongoman leo
JF-Expert Member
- Mar 26, 2026
- 294
- 345
Kuna mwelekeo duniani kote nchi mbalimbali kuondoa adhabu ya kifo.kwenye mashauri mbalimvali. sina takwimu sahihi kwa sasa nchi ambazo bado zina adhabu hii ambayo kimsingi inapingana na misingi ya haki za binadamu. Kwa Tanzania ma Rais wa awamu zote walikwepa kusaini hukumu ya kifo na kubakia kwenye makaratasi tu. Nashauri wanasheria waende kupinga kifungu hiki mahakamani ili isiwepo kabisa kwa vile inadharirisha utu wa kibinaadamu. Ilitumika zaidi kipindi cha ukoloni. Kwa misingi ya imani zetu wengine AMRI YA SITA YA MUNGU INASEMA "USIUE". maana yake Mungu alipiga marufuku kuua. kinachotegemewa ni Natural.Death na si vinginevyo.