misingi ya haki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Je kuna haja ya kupinga adhabu ya kifo Mahakama Kuu, kwa misingi ya haki za binaadamu

    Kuna mwelekeo duniani kote nchi mbalimbali kuondoa adhabu ya kifo.kwenye mashauri mbalimvali. sina takwimu sahihi kwa sasa nchi ambazo bado zina adhabu hii ambayo kimsingi inapingana na misingi ya haki za binadamu. Kwa Tanzania ma Rais wa awamu zote walikwepa kusaini hukumu ya kifo na kubakia...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Mzee Butiku: Ukishavunja misingi ya haki hutapata amani, Vyama vimejitumbukiza katika kuvunja haki

    Mkurugenzi Mtendaji na Rais wa Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere, Mzee Joseph Waryoba Butiku, akizungumza katika mahojiano yaliyorushwa Agosti 26, 2026 na M & S Podcast, amesema kuwa taifa limejengwa kwa zaidi ya miaka 60 kwenye misingi imara, lakini kwa sasa zimetokea kasoro kubwa zinazotokana...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Mungu awabariki watu wote wanaolitakia mema Taifa letu na kupambania Misingi ya haki ,amani pamoja na ukweli na kujali wasio nacho

    Kheri ya pasaka. Ndugu zangu tuendelee kuwaombea watu wote ambao wanalipambania Taifa letu liweze kuwa Taifa la usawa ,haki amani pamoja na Upendo mfano wa watu hawa Balozi Humphrey Polepole Mh Tundu lissu John heche Padre kitima na viongozi wote wa dini ya katoliki. Hawa ni baadhi lakini wapo...
  4. Q

    JamiiForums Tanzania TEC yashinda tuzo ya taasisi bora ya kidini inayosimamia misingi ya haki nchini

    Hongereni sana TEC kwa kusimama kwa ujasiri, weledi na uaminifu uliotukuka kwenye nafasi yenu kwa jamii hasa katika kutetea haki za wananchi za kisiasa, kiuchumi na kijamii. Hakika taasisi yenu imekuwa baraka kubwa kwa taifa letu. Mungu awabariki sana. NB: Tuzo hizi ni kwa mujibu wa Poll...
  5. PLOII

    JamiiForums Tanzania NENO LA TAREHE 27.08.2025; Ukipata Nafasi ya kuweka Misingi ya Haki Katika Taifa Fanya Hivyo Zama Hazigandi, Pole pole sio kulia Leo wengine somo Hilo

    Habari ya Wednesday Wana Jf, Neno la Leo Kwa ufupi, Watu tunasahau sana tukidhani tutatawala daima. Tukumbushane tu ZAMA hupita. Leo watu Wanadai Haki na mambo mbalimbali Kuna viongozi hawaumizi kichwa Katika Hilo lakini miaka MITANO iliyopita waliitaka hiyo Haki. Nani asiyejua kuwa Kuna...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Askofu Mameo: Taifa lirudi katika misingi ya Haki, agusia Tume Huru, na 'No Reforms' asema Ikulu imegeuka kuwa sehemu ya lawama

    Wakuu! Ibada ya Ijumaa Kuu Kitaifa imefanyika katika Kanisa la KKKT Ushirika wa Ifakara Mjini, Dayosisi ya Ulanga Kilombero, ambapo imetumia nafasi hiyo kueleza kuhusu hali ya kisiasa na kijamii nchini, wakati huu Taifa likielekea kuchagua Rais, Wabunge na Madiwani Oktoba 2025. Akihubiria...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania LGE2024 ACT Wazalendo: Wagombea wetu wote warejeshwe, tuendeshe mambo kwa misingi ya haki

    Tumepokea taarifa ya Waziri wa Nchi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa kuongeza muda wa rufani za wagombea na kuelekeza wagombea wetu walioondolewa kwa sababu ya ngazi ya udhamini warejeshwe. Ikumbukwe kuwa mnamo tarehe 09 Novemba, 2024 Kiongozi wa Chama chetu alitoa rai kwa Rais wa Jamhuri ya...
  8. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Vyama vya Siasa, Viongozi na Wanaharakati waache kugombania wananchi wanaokumbana na mkono wa sheria ili kujinufaisha

    Salaam wakuu, Miaka ya hivi karibuni kumeibuka tabia hii mbaya ya kutumia wananchi wanaokumbwa na matatizo mbalimbali hasa wanaokumbana na mkono wa sheria. Imefika wakati hadi wanamgombania kama mpira wa kona raia aliye kwenye matatizo husika ili kila mmoja basi aonekane akijali tatizo lake...
Back
Top Bottom