Hongereni sana TEC kwa kusimama kwa ujasiri, weledi na uaminifu uliotukuka kwenye nafasi yenu kwa jamii hasa katika kutetea haki za wananchi za kisiasa, kiuchumi na kijamii. Hakika taasisi yenu imekuwa baraka kubwa kwa taifa letu. Mungu awabariki sana.
NB: Tuzo hizi ni kwa mujibu wa Poll zinazowekwa na page ya habari ya Masama Media
NB: Tuzo hizi ni kwa mujibu wa Poll zinazowekwa na page ya habari ya Masama Media