byembalilwa
JF-Expert Member
- Aug 7, 2012
- 2,066
- 951
TEC Dini +jukwaa la siasa,sawa
TEC Dini +jukwaa la siasa,sawa
Father Kitima yupo kwenye siasa na dini anapiga kote kote.TEC Dini +jukwaa la siasa,sawa
BAKWATAImetolewa na taasis gani?
Hata kama ni bakwata sawa..BAKWATA
Mashehe ubwabwa kama wamechefuka wanywe sumu ya panya wafe!Hongereni sana TEC kwa kusimama kwa ujasiri, weledi na uaminifu uliotukuka kwenye nafasi yenu kwa jamii hasa katika kutetea haki za wananchi za kisiasa, kiuchumi na kijamii. Hakika taasisi yenu imekuwa baraka kubwa kwa taifa letu. Mungu awabariki sana.
NB: Tuzo hizi ni kwa mujibu wa Poll zinazowekwa na page ya habari ya Masama Media
View attachment 3529686
Hongera TEC kwa kusimama kwa ujasiri,weledi,umahiri na uaminifu uliotukuka katika kusimamia misingi ya haki.Hongereni sana TEC kwa kusimama kwa ujasiri, weledi na uaminifu uliotukuka kwenye nafasi yenu kwa jamii hasa katika kutetea haki za wananchi za kisiasa, kiuchumi na kijamii. Hakika taasisi yenu imekuwa baraka kubwa kwa taifa letu. Mungu awabariki sana.
NB: Tuzo hizi ni kwa mujibu wa Poll zinazowekwa na page ya habari ya Masama Media
View attachment 3529686
Kobazi watanuna.Hongereni sana TEC kwa kusimama kwa ujasiri, weledi na uaminifu uliotukuka kwenye nafasi yenu kwa jamii hasa katika kutetea haki za wananchi za kisiasa, kiuchumi na kijamii. Hakika taasisi yenu imekuwa baraka kubwa kwa taifa letu. Mungu awabariki sana.
NB: Tuzo hizi ni kwa mujibu wa Poll zinazowekwa na page ya habari ya Masama Media
View attachment 3529686
Wengine wameshinda tuzo za rohombaya😂Hongereni sana TEC kwa kusimama kwa ujasiri, weledi na uaminifu uliotukuka kwenye nafasi yenu kwa jamii hasa katika kutetea haki za wananchi za kisiasa, kiuchumi na kijamii. Hakika taasisi yenu imekuwa baraka kubwa kwa taifa letu. Mungu awabariki sana.
NB: Tuzo hizi ni kwa mujibu wa Poll zinazowekwa na page ya habari ya Masama Media
View attachment 3529686
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hongereni sana TEC kwa kusimama kwa ujasiri, weledi na uaminifu uliotukuka kwenye nafasi yenu kwa jamii hasa katika kutetea haki za wananchi za kisiasa, kiuchumi na kijamii. Hakika taasisi yenu imekuwa baraka kubwa kwa taifa letu. Mungu awabariki sana.
NB: Tuzo hizi ni kwa mujibu wa Poll zinazowekwa na page ya habari ya Masama Media
View attachment 3529686