fursa

  1. Joseph Kadasula

    Ushauri wa biashara

    Habari wana Jamii forums? Naomba kujua zaidi kuhusu biashara ambayo naweza kuanza kwa mtaji mdogo na ikakua na kufungua fursa zingine za kibiashara. Binafsi nimekuwa nikiwaza sana kuhusu stationery yenye electronics, car wash na grocery. Naombeni mawazo yenu hapa wakuu
  2. Prof_Adventure_guide

    Fursa ya kupanda Mlima Kilimanjaro mpaka kileleni Uhuru Peak

    Wana jamvi mnaonaje kama mtakuwa tayari kuchangamkia fursa hii ya kutembelea mlima Kilimanjaro kwa gharama nafuu zaidi ambayo imeandikwa kwenye tangazo letu hapo chini! Changamkini fursa chap chap ili ukajionee kwa macho na kujifunza mengi zaidi kwa mwaka huu 2025 Kwa maelezo zaidi nicheki...
  3. kuchkuch hotahe

    Fursa ( Digital currency) mwaka 2025

    Habar ndugu nipo hapa kuwashirikisha fursa hii ya digital currency ( PI coin) mpya ambayo inaingia sokoni rasmi kuanzia tarehe 31.1.2025 Ndugu zangu Coin hii ni rahisi Sana kuipata Kwan unaipata kwa kutap kitufe kwenye app yake inayoitwa pi Mara you baada ya kujisajiri, Thamani ya pi coin...
  4. Tlaatlaah

    Endapo Tundu Lissu atashindwa kupata fursa ya kuwa mwenyekiti CHADEMA taifa. Plan B, atangombea Ubunge Singida, na kujipanga kugombea Urais 2030

    Endapo atashindwa vibaya sana kua mwenyekiti wa Chadema Taifa kama plan A yake, Tundu Lisu, atagombea ubunge miongoni mwa majimbo ya uchaguzi katika mkoa wa Singida, kupitia chama kipya cha siasa ambacho bado hakijawekwa wazi bado, lakini ndicho atakachokitumia kugombea ubunge Singida na lakini...
  5. Stephano Mgendanyi

    Samia Mtaani Kwetu Kuwajengea Uwezo Madereva Bajaji Ili Wazitumie Fursa Zinazowahusu

    Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji UVCCM Taifa, Komredi Debora Joseph Tluway Tarehe 28/12/2024 alikutana na madereva bajaji walioko Wilaya ya Mpanda ili kutekeleza dhima ya Program ya "SAMIA MTAANI KWETU" yenye lengo la kukutana na makundi yote ndani ya jamii yetu kwaajili ya kujenga Umoja...
  6. B

    Fursa ya kibiashara

    .
  7. E

    Fursa ya Kazi: WhyNot In Lounge and Kitchen ya Goba

    WhyNot In Lounge and Kitchen ipo Goba Dar es salaam Tunatafuta staff ili kufanya kazi katika hii business mpya iliyopo Goba, Dar es Salaam. Tunatafuta watu wenye vipaji na uzoefu kwa nafasi zifuatazo: 📌 Manager 📌 Bartender/Counter Staff 📌 Servers/Waitress 📌 Cleaners Vigezo vya Muombaji: ✅...
  8. Rockefeller

    Fursa ya Uwekezaji kwa wadau wa maendeleo

    Habari za asubuhi waku, Niende moja kwa moja kwenye hoja. Tuna mradi wa ubunifu wa kufuga wadudu kwa lengo la kubadilisha taka hai kuwa bidhaa zenye thamani kama mbolea na chakula cha mifugo. Mpango wetu ni kupanua shughuli hizi kwenye moja ya dampo kubwa na la kisasa nchini, ambapo tunalenga...
  9. V

    Fursa ya kazi kama kijana Mwenye kipaji cha utangazaji

    FURSA YA KAZI (UWE ACTIVE NA YOUTUBE) Anahitajika kijana wa kike au wa kiume kwa kazi ya utangazaji habari za burudani (ajue udaku) online. VIGEZO NA MASHARTI. 1. Umri kuanzia miaka 20 mpaka 30. 2. Awe na smartphone au laptop. 3. Awe na utayari (active) wakati wote wa kazi. 4. Awe tayari...
  10. Nguruvi3

    CHADEMA na Minyukano : Fursa , Makosa na Anguko

    Mpambano wa FAM na TAL una afya ''Chawa Wanashona Sanda, Wapambe wanachimba kaburi Kwa wiki, habari zinazotamalaki ni mpambano wa Uenyekitiki wa CHADEMA (CDM) kati ya Mh Mbowe (FAM) na Mh Lissu (TAL). Mvutano kati yao umepandisha joto la siasa nchini kuliko wakati mwingine. Joto la siasa...
  11. Brojust

    Nakupa wazo wewe Mwekezaji, yule Bilionea wa Manyara ametumia fursa ya kutengeneza pombe, Sasa anamiliki hadi Helikopta

    Mimi binafsi shida yangu ni Mtaji tu. Nawasilisha opinion zangu kwako mwekezaji katika pombe kali, sasa hapa hutakiwi kushindana na smart gin maana yeye alitengeneza formula zake na akaliona soko sasahv smart gin ipo kwenye mzunguko mkubwa sana. Twende kwenye wazo, Kumbuka kama unataka...
  12. Rozela

    Nilipata fursa ya kutembelea Australia na New Zealand nilichojifunza ni hiki

    Wakuu, mnamo mwezi wa 7 mwaka 2023 nilipata fursa ya kutembelea Australia na baadaye New Zealand, kwakifupi NILIKATA TAMAA. 1. Hakuna namna Tanzania tunaweza kuwafikia hata wakiamua kutusubiri kwa miaka 100. 2. Niliona kabisa kuwa Waafrika wengi ni kama hatuna akili hasa tunapokuwa katika...
  13. S

    Fursa za kiuchumi za kukutoa kimaisha kwa mkoa wa Kigoma hasa Ujiji na Kigoma mjini

    Naomba kufahamishwa fursa za kiuchumi za mkoa wa Kigoma
  14. ramadhani kimweri

    FURSA YA USHIRIKIANO BIASHARA

    FURSA YA USHIRIKIANO: NATAFUTA BIDHAA ZA KUUZA KWA MAKUBALIANO YA MALIPO BAADA YA MAUZO Maelezo: Habari, Jina langu ni Ramadhani Juma Kimweri, mjasiriamali mwenye nia ya kuendeleza biashara kwa kushirikiana na wafanyabiashara wenye bidhaa mbalimbali. Natafuta wafanyabiashara wanaotaka kuongeza...
  15. Tlaatlaah

    Tundu Lissu akijiengua au kubanduliwa CHADEMA, Willbroad Slaa atarejea rasmi na kupewa fursa ya kugombea urais kupitia CHADEMA 2025.

    Hautapita muda mrefu, mara baada ya Tundu Lisu kuondoka chadema, Dr.Wilbroad Peter Slaa atarejea Chadema na kupewa fursa ya moja kwa moja kugombea nafasi urasi Oct 2015. Huyo ndie hasa alikua chaguo namba moja, kama mgombea urais wa Chadema Oct 2025. Wanaojaribu kumu-outshine na kumu-thwart...
  16. U

    Jeshi la Israel Iajiandaa kushambulia mitambo ya kuzalisha silaha za nyuklia ya Iran, ni fursa muhimu kufuatia kuangushwa utawala wa Asad wa Syria

    Wadau hamjamboni nyote? Kumekuchaa maandalizi yanaendelea kukamilisha malengo makuu Jisomeeni wenyewe hapo chini kwa kimombo: Usiku mwema inshallah IAF continues preparations for potential strikes in Iran IDF sees chance for strikes on Iran nuke sites after knocking out Syria air defenses...
  17. Mende mdudu

    Mfumo wa elimu uwe wa kikanda kutokana na fursa za kiuchumi wa eneo husika

    Niende moja kwa moja kwenye mada kutokana na uwepo wa degree nyingi mtaani bora kuwe na mfumo mpya wa elimu kutokana na kanda husika kutoka primary hadi high level. Kwa mfano watu wa Mwanza wawe na silabasi yao inahusu uvuvi na uchumi wa blue toka shule ya msingi kama usafirishaji wa majini...
  18. J

    Kuna sababu ya kufupisha muda wa ajira serikalini ili kuto fursa za ajira kwa wimbi kubwa lililo mtaani?

    Kadri miaka inavyo zidi kwenda kunakuwa na ongezeko kubwa la wimbi la vijana wanao tafuta ajira. % kubwa wengi wanapata ajira wamesha choka miaka ya 35-40.... hapo ana ambuliatu Ela ya kustaafu Hoja ya msingi serikali ungekuja na mpango kupunguza muda wa kuajiriwa ikawa miaka 10, Kama ilivyo...
  19. Rorscharch

    Coober Pedy na Somo kwa Vijana wa Kitanzania: Fursa Katika Changamoto za Maisha

    Katika jangwa la kaskazini mwa Australia Kusini, kuna mji mdogo maarufu ulimwenguni kwa uzalishaji wa vito vya opal unaojulikana kama Coober Pedy. Zaidi ya asilimia 70 ya opal zinazoteumiwa duniani hutoka katika mji huu, ambao ulianzishwa mwaka 1915 baada ya wachimbaji kugundua vito hivyo vya...
  20. B

    Waziri Kikwete: Fursa za ajira kwa vijana nje ya nchi kipaumbele cha Serikali ya Rais Samia

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwani Kikwete amesema Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe. Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan, imeendelea kufungua fursa zaidi za ajira kwa watanzania nje ya nchi. Aidha, Mhe. Ridhiwani amesema serikali...
Back
Top Bottom