Mwaka 2023 ulikuwa mwaka ambao ulijaa changamoto na fursa kwa upande wangu. Nikiwa nimeamua kupanua biashara zangu, nilijikuta nikiingia China kwa mara ya kwanza. China ni taifa lenye nguvu kubwa kiuchumi, na kwa kila mjasiriamali mwenye ndoto ya kupanuka kimataifa, hili lilikuwa eneo muhimu...
Mjadala uendelee. Mada hiyo hapo mezani. Nitakuwa wa mwisho kutoa maoni yangu. Karibuni wana jukwaa.
Rejea utenguzi wa mhe. Nape, Ndugai, Dc wa longido nk.
Pia soma:Kuelekea 2025 - DC wa Longido aliyesema alihusika kutengeneza mazingira ya Madiwani kushinda 2020 atenguliwa
Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kudai kuwa Soko la Kijichi lililojengwa kupitia mradi wa uboreshaji wa Miundombinu ya Dar (DMDP) kwa mkopo wa Benki ya Dunia (WB), linaonekana kama limetelekezwa, DC na Mkurugenzi wa Temeke wametoa Ufafanuzi
Mbunge wa Jimbo la Mtoni, Abdulhafar Idrissa Juma...
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema bado kuna fursa nyingi hapa nchini ambazo zikitumika vizuri zinaweza kuongeza idadi ya watalii wa ndani na nje.
Ametoa kauli hiyo jana usiku (Jumatano, Agosti 21, 2024) wakati akizungumza na mamia ya wadau na washiriki waliohudhuria tukio la USIKU WA UTALII...
Ushirikiano kati ya China na Afrika, ambao masuala ya uchumi na biashara ndio kiini chake, utaendelea kuwa wa kina zaidi chini ya Pendekezo la Ukanda Mmoja, Njia Moja (BRI) la China, wakati pande hizo mbili zikiwa tayari kukumbatia mtazamo wa pamoja wa kujenga jamii ya ngazi ya juu ya China na...
Waziri wa Madini, Anthony Mavunde amebainisha kuwa Tanzania iko tayari kuvutia Wawekezaji kutoka mataifa mbalimbali kupitia Mkutano wa 5 wa Kimataifa wa Uwekezaji katika Sekta ya Madini, unaotarajiwa kufanyika Dar es Salaam Novemba 19 hadi 21, 2024.
Amebainisha hayo leo Agosti 21, 2024, katika...
na kugombea urais kwenyewe, itategemea uwezekano wa kupewa fursa hiyo ya kugombea, hasa kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo chadema,
duru za kisiasa zinaeleza, uwezekano huo upo, tena mkubwa sana, lakini pia ikiwa ni vigumu na ikishindikana, basi planB itatumika bila mbambamba yoyote ili...
TANZANIA IPO TAYARI KUTUMIA FURSA YA SOKO LA PAMOJA KUUZIANA UMEME - DKT. BITEKO
📌Ni kufuatia uwepo wa fursa hiyo kwa nchi 13 wanachama wa EAPP
📌Mawaziri waridhia uwepo wa kitengo huru cha masoko cha kuuziana umeme
📌Wanachama EAPP watachangia Megawati Elfu 90 kwenye soko la pamoja la...
Asubuhi mpya ni nafasi mpya ya kuandika ukurasa mwingine wa maisha yako. Jipe moyo, ongeza bidii, na uamini uwezo wako.
Hakuna kinachoweza kusimama mbele yako ikiwa una nia thabiti na moyo wa ujasiri. Kumbuka, kila changamoto ni fursa ya kukua na kila mafanikio ni matokeo ya juhudi zako.
Leo...
Dodoma, Tanzania – Agosti 08, 2024 – Kampuni ya Sukari ya Kilombero imeshiriki katika Tamasha la mwaka huu la Nane Nane, lililofanyika kuanzia Agosti 1 hadi 8 katika mikoa ya Dodoma na Morogoro. Siku ya Nane nane ni fursa kwa Kampuni hiyo kutoa elimu na kushirikiana na wakulima kwa kuonesha...
Tangu nimsikie Mbwana Samatta katika jukwaa la kimataifa sijamsikia tena mzawa mwingine Mtanzania akiwa maarufu hapa Africa au duniani kwa ujumla katika sekta ya michezo.
Huenda sababu mojawapo kubwa ni serikali na raia kuelekeza nguvu zao na focus yao yote katika vilabu viwili zaidi vya...
MASKINI ATABAKI KUWA MASKINI TU KAMA ATAENDELEA KUWA NA MARAFIKI MASKINI 😔
Hii sio makala nzuri kwa maskini ambao wameridhika na hali hiyo hivyo kama umeridhika na umaskini basi acha kabisa kusoma ila kama upo kwenye vita ya kujikwamua kama mimi basi inawezekana ikawa makala yenye mwanzo mpya...
Tupo kwenye mwaka mmoja na nusu ambapo kamati za miradi na ujenzi za makanisa na misikiti zinapanga mipango mingi ya kukusanya fedha kwa wanasiasa
Ni kipindi ambacho taasisi za dini uacha kuangalia uchafu wa fedha na kupima vyanzo vya fedha husika. Ni kipindi cha wanasiasa kupokea mialiko...
Kama kichwa cha Habari kinavyojieleza.
Kwenye pita pita zangu huko mtandaoni nikakutana na Habari ya kijana Mmoja WA ki Jerumani anataka msichana WA Kitanzania Kwa lengo la ndoa.
Nimeweka screenshot hapo chini inajieleza kabisa.
Mkitaka maelezo zaidi mnaweza kwenda kwenye account yake ipo...
Hawa UVCCM huyu kijana sijui Abdul ni sample ya takataka tokea kuumbwa vyoo vya kuflash. kuna kitu kimoja anashindwa kujua siasa anayotumia ili mtandao wa twitter ufunge sababu kuminya demokrasia unaweza kumtokea puani kama kila mtumiaji wa X anaweza kuandika malalamiko anavotumika na jina lake...
Habari za jioni wakuu,
Straight to the point, mimi ni mmoja ya watu wanaopenda kutunza vitu kama coins, picha, etc. as souvenirs. Sasa mwaka 2016, BoT ilipotimiza miaka 50 tangu kuanzishwa kwake walitoa sarafu ya shilingi elfu hamsini.
Hii sarafu nilijaribu kuitafuta bila mafanikio kwani...
Yaan kama kuna mchezaji nimemheshimu msimu huu n mkude
Mkude anajua fursa
Mkude alipoitwa Yanga, Simba walimbeza sana sana
Wakamdharau lakini akaisaidia yanga
Leo hii viongozi wa mashabiki wanalia mbona wanaochukuliwa na yanga toka simba wanacheza vizuri shida ikowapi?
Haitoshi chamahuyooo...
1. Unenepeshaji wa ng'ombe
Kipindi cha kiangazi (ukame) ng'ombe huwa zimedhoofika na kusababisha ng'ombe kuuzwa kwa bei ya hasara. Kwa mfano, ukiwa na ng'ombe 5 ambao umewapata kwa 200,000
Jumla ya pesa iliotumika
200,000×5=1,000,000
Makadirio ya matunzo kwa miezi 3 ni 150,000 kwa ng' ombe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.