fursa

  1. Davidmmarista

    Vijana tuongee kuhusu fursa mbalimbali ikiwemo biashara

    Kumekuwa na watu mbalimbali wenye mitaji yao lakini wameshindwa kujua biashara za kuwekeza vijana karibuni tujuzane fursa mbalimbali za kutuinua kimaisha.
  2. L

    CPC na CCM vyaboresha uhusiano wao kutoka wa kirafiki na kindugu hadi kuwa msingi imara wa kukuza fursa za kiuchumi na uwekezaji

    Tangu ufanyike mkutano wa 18 wa Chama cha Kikomunisti cha China (CPC), Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti ikiongozwa na Xi Jinping, imekuwa ikitoa mawazo mapya, mitazamo mipya na hatua mpya za kuongoza kazi ya kimataifa ya Chama. Chama cha CPC pia kimefanya ujenzi wa Pendekezo la ‘Ukanda Mmoja...
  3. Swahili AI

    Fursa ya huduma ya uwakala wa mitandao na benki.

    Sema sina mtaji. Ila hapa kongowe pana fursa ya huduma za uwakala wa miamala ya mitandao ya simu pamoja na benki. Juzi nilikua hapo kulipa ada yani wakala anafunga fremu na watu zaidi ya kumi na tunamsubiri arudi atuhudumie. Naongelea Kongowe stand, mpakani mwa dar na pwani. Kama upo vizuri...
  4. B

    TAMISEMI: Tuige mfano wa CRDB Bank Foundation kutoa fursa kwa vijana na wanawake

    Dar es Salaam. Tarehe 29 Juni 2024: Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Adolf Ndunguru ameipongeza Taasisi ya CRDB Foundation kwa jitihada zake za kuwafungulia fursa vijana na wanawake na kuzitaka taasisi nyingine kuiga mfano huo ili kuongeza ujumuishi...
  5. L

    Licha ya fursa inayotokana na teknolojia ya Akili Bandia watu wengi wanaichukulia kama tishio kwa ajira zao

    Kadiri siku zinavyozidi kusonga mbele ndivyo inavyoonekana kwamba matumizi ya teknolojia ya Akili Bandia (AI) yanashika kasi sana duniani. Maendeleo haya ya haraka yameanza kubadilisha sekta nzima ya teknolojia na kuonesha uwezo wa kugusa nyanja nyingi za maisha ya kisasa. Kwa sasa inaonekana...
  6. alsam

    Fursa ya asali kwa mtaji wa 200k

    FURSA YA ASALI KWA MTAJI WA CHINI YA 200K . Kwa kutumia laki na 70 (170,000) utapata yafatayo:- 1#. Pure Asali lita 20. 2#. Free Delivery to Magufuli stand kwa walio Dar. 3#. Free packaging kwenye chupa za lita moja moja. Lita moja ni Tsh 8500, unaweza kuuza hata kwa elf 12 kwa lita na...
  7. G

    Je, nichague course ipi nzuri na yenye fursa ya ajira kwa combination za arts?

    Mimi ni muhitimu wa kidato Cha sita mchepuo HGK. Nahitaji kujua ni course ipi nzuri na yenye fursa ya ajira naweza kwenda kusomea chuo kikuu?
  8. Roving Journalist

    Tume ya Madini yatoa elimu ya fursa za uwekezaji katika Sekta ya Madini kwenye migodi ya madini

    Tume ya Madini inaendelea kutoa Elimu kwa Wadau wa madini na Wananchi wote kutoka katika Mkoa wa Dodoma kwenye Wiki ya Maonesho ya Madini inayoambatana na Kongamano la Wachimbaji wa Madini yanayoendelea katika Viwanja vya Jakaya Kikwete, leo tarehe 22 Juni 2024, Dodoma. Elimu inatolewa katika...
  9. Akilibandia

    SoC04 Kufungua Uwezo wa Kidigitali: Kukabiliana na Ukosefu wa Ajira kwa Wahitimu na wenye ujuzi Tanzania Kupitia Fursa za Mtandaoni

    Utangulizi Katika moyo wa Afrika Mashariki, Tanzania inasimama katika njia panda kati ya mila na uvumbuzi. Ikiwa na idadi kubwa ya vijana, taifa lina hazina ya uwezo ambao bado haujatumika—wahitimu wakiwa wamejaa ujuzi na ndoto kubwa. Hata hivyo, ahadi hii inafunikwa na ukweli mkali: ongezeko...
  10. F

    Mheshimiwa January Makamba ni kiongozi mbunifu mno mweye kuiona fursa adhimu

    Waziri huyu kila wizara aitumikiayo huja na maono endelevu na kuacha alama. Alipokuwa nishati alibuni mambo mengi ikiwa ni pamoja na ugavi wa mitungi ya gesi bure. Gesi ikiisha ni lazima baadhi ya wagaiwa watanunua tena hata ikiwa hawakuwa na utamaduni wa kutumia gesi. Sasa akiwa waziri wa nje...
  11. kelvinmpinga

    SoC04 Tanzania tuitakayo:Maono ya kibunifu kwa uchumi endelevu wa tanzania na fursa kwa vijana

    Tanzania ya baadaye inaangazia mwelekeo wa uchumi endelevu unaoweka msisitizo mkubwa katika kuleta fursa za ajira na ujasiriamali kwa vijana. Kupitia mipango ya kibunifu na utekelezaji wa sera makini, tunalenga kujenga uchumi imara ambao unawanufaisha wananchi wote, hususan vijana. Hapa ni maono...
  12. R

    Ushauri kwa Chadema: Fanyeni uchaguzi wa Mwenyekiti na Makamu wake baada ya uchaguzi Mkuu wa 2025. Msiwape fursa machawa wa CCM nafasi ya hujuma

    Hii ni fragile moment. CCM wanaangalia wapi chadema itadondoka na wameshaona kizuizi kikubwa ni Mbowe. Haongeki. Kwa kipindi hiki cha uchaguzi mkuu wa Rais na wabunge, nawashauri postpone uchaguzi wa Mwenyekiti na makamu wake mvuke salama kipindi hiki. Mtakumbuka machawa walivyoshangilia...
  13. S

    Changamkia fursa za kazi mtandaoni. Lakini kuna haja ya hili kwanza...

    Habari wanajamvi, natumaini mmeamka salama. Mimi pia, nipo kwenye computer yangu nachapisha haya maneno. Katika pitapita zangu, nilikutana na hili swali leo asubuhi, kwenye X account ya rafiki yangu mafolebaraka Nkatamani kulijibu kwa post kadhaa, kuanzia hili la leo. Binafsi, sijaajiriwa...
  14. mkolechi

    Nani anataka Fursa hii

    Unakaribishwa Niko Mbeya
  15. Stephano Mgendanyi

    Fursa na Mitaji Sekta ya Ujenzi Inakuja, Kikubwa Tuwajibike

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Serikali inaendelea na jitihada za kutafuta fedha kupitia wahisani mbalimbali wa maendeleo ili kusaidia Makandarasi wa ndani kuwa na uwezo wa kutekeleza miradi mbalimbali ya miundombinu nchini. Akiongea kupitia kipindi cha Mizani ya Wiki cha U...
  16. Eli Cohen

    Nchi za Uarabuni wananunua mbolea ya ng'ombe. Tuchangamkie fursa

    India wanapiga sana pesa kwa ku export kinyesi cha ng'ombe. Jamaa hawa especially Kuwait wanahitaji kilimo kikue kwa kasi huko na ardhi yao sio rutuba so wanahitaji mbolea ya kinyesi cha ng'ombe kwa wingi mkubwa.
  17. J

    Fursa za biashara kwa vijana 2024-20250

    Je, unadhani ni fursa zipi amabzo vijana zinawza kuwapa uhakaika wa kujiajiri hadi kufikia 2050 zitakuwa bado sustainable ukijumuisha mabadiliko mbalimabli yanayoweza kujitokeza katika uchumi, siasa, teknolojia, elimu, mazingira na kadhalika
  18. s8plus

    Fursa ya masomo kozi ya Clinical Officer

    Ndugu changamkia fursa hii...Karibu katika chuo cha Mlandizi College of Health. Upate kujiunga na kozi ya utabibu Clinical Officer kwa ngazi ya Diploma. Dirisha la udahili la wizara ya afya limeshafunguliwa wahi kabla halijafungwa. Bofya hapa kujiunga na group letu la whatsapp kwa maulizo...
  19. Clark boots

    Miji midogo midogo Tanzania ambayo ina vibe na fursa za kibiashara lakini haivumi

    Wakuu, Uzi huu ni kwa ajili ya kutaja miji midogomidogo ndani ya nchi yetu ambayo ina vibe kubwa kama miji mikubwa na ina fursa za kibiashara lakini haivumi wala kujulikana sana na watu. Mimi naanza kama ifuatavyo: 1. MLOWO Huu ni miongoni mwa miji midogomidogo inayokuwa kwa Kasi, ni Mji...
  20. Ojuolegbha

    Mkutano wa majadiliano ya fursa za uwekezaji kati ya Ufaransa na Zanzibar

    Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa Mhe. Ali Jabir Mwadini akizungumza katika Mkutano wa majadiliano ya fursa za uwekezaji kati ya Ufaransa na Zanzibar, ambapo Mgeni rasmi ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi, kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Park Hyatty...
Back
Top Bottom