Amani na utulivu kivutio cha fursa ya mikutano ya kimataifa nchini

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
1,194
Reaction score
911
Watanzania waliopata fursa ya kutoa huduma mbalimbali katika Mkutano wa 153 wa Mabunge duniani (IPU) unaofanyika Arusha Tanzania wamesisitiza umuhimu wa kutunza amani nchini ili Tanzania iendelee kunufaika na fursa za mikutano mbalimbali ya kimataifa.

Aidha, uwepo wa amani nchini umetajwa kuwa chachu na kivutio kwa mikutano mbalimbali ya kimataifa kufanyika Tanzania ambayo licha ya kuitangaza Nchi pia imekuwa fursa ya kiuchumi kwa watanzania.

Tanzania hakuna amani chini ya huyu mmama ndiyo maana dangote kakataa kuwekeza kiwanda chake cha matrilioni na matrilioni badala yake kakipeleka kenya.Sa100 katukosesha uwekezaji wa maana ambao ungemaliza kabisa tatizo la ajira
 
Amani haitangazwi wala haitaki kampeni hua inajitangaza yenyewe na inajipa yenyewe promosheni kupitia uhuru,haki na usawa kwenye mambo mbalimbali
 
Back
Top Bottom