Kiswahili siyo tu kwamba ni lugha rasmi ya kazi katika mikutano ya Umoja wa Afrika, Jumuiya ya Afrika Mashariki, SADC, UNESCO na taasisi nyingine kubwa za kimataifa bali kwa miongo kadhaa, imekuwa ikifundishwa kwa ufahari katika taasisi za kitaaluma za hapa Urusi - Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck...
afrika
afrika mashariki
jumuiya
jumuiya ya afrika mashariki
katika
kazi
kiswahili
lugha
mashariki
mikutano
nyingine
rasmi
sadc
taasisi
umoja
umoja wa afrika
unesco
Bara linalouza madini ghafi kisha kununua tena betri zilizotengenezwa kutokana na madini hayo litaendelea kuwa maskini, bila kujali idadi ya mikutano ya kilele litakayohudhuria - Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Amesema hayo Oktoba 28, 2026...
Watanzania waliopata fursa ya kutoa huduma mbalimbali katika Mkutano wa 153 wa Mabunge duniani (IPU) unaofanyika Arusha Tanzania wamesisitiza umuhimu wa kutunza amani nchini ili Tanzania iendelee kunufaika na fursa za mikutano mbalimbali ya kimataifa.
Aidha, uwepo wa amani nchini umetajwa kuwa...
Watanzania waliopata fursa ya kutoa huduma mbalimbali katika Mkutano wa 153 wa Mabunge duniani (IPU) unaofanyika Arusha Tanzania wamesisitiza umuhimu wa kutunza amani nchini ili Tanzania iendelee kunufaika na fursa za mikutano mbalimbali ya kimataifa.
Aidha, uwepo wa amani nchini umetajwa kuwa...
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, alivyowasili kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) ambapo amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika ufunguzi wa Mkutano wa 153 wa Umoja wa Mabunge Duniani IPU.
Mkutano huo unaofanyika leo Oktoba 5, 2026 jijini Arusha...
Picha mbalimbali zikionesha matukio katika mkutano wa hadhara uliofanyika leo tarehe 04, Oktoba 2026 Serengeti, mkoani Mara. Mgeni rasmi alikuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, Mhe. John Heche
Mikakati ya makusudi ya kukuza utalii wa mikutano (MICE) jijini Arusha imeanza kuzaa matunda kwa kuchochea mnyororo wa thamani wa kiuchumi kuanzia ngazi ya mtu mmoja mmoja hadi jamii kwa ujumla. Ukuaji huu unathibitishwa na ujio wa wajumbe zaidi ya 3,000 wa Mkutano wa Pili wa Kimataifa wa Huduma...
Chivayo alinunua ndege hio ya gharama kubwa, kumsaidia kuepuka traffic katika jiji la Harare na pia kumsaidia kufika kwenye vikao muhimu katika masuala yake ya kibiashara. Kwa mujibu wa maelezo yake.
Inaitwa Leonardo AW139, ina engines mbili, na inaendeshwa na marubani wawili.
Hio Helicopter...
Mjasiriamali kijana Ifra Ahmed, anayejishughulisha na uendeshaji wa saluni za kike na za kiume, ameeleza namna wageni kutoka mataifa mbalimbali wanaohudhuria mikutano ya kimataifa wanavyochangia kukuza biashara yake.
Ifra, ambaye amepata mikopo isiyo na riba kutoka Halmashauri ya Jiji la...
Mikakati ya makusudi ya kukuza utalii wa mikutano (MICE) ndani ya Jiji la Arusha imeanza kuzaa matunda, huku makundi mbalimbali ya kijamii yakishuhudia manufaa makubwa ya kiuchumi kuanzia ngazi ya mtu mmoja mmoja hadi jamii kwa ujumla.
Miongoni mwa wanufaika wakuu ni madereva wa taksi ambao...
Ruhusa hii imetolewa na jeshi la polisi ambao hawakukataza mikutano! Mikutano ilikatazwa na waziri wa mambo ya ndani.
Hivi sasa kuna ukamataji ambao huenda umelengwa kwa wafuasi wa Chadema, kinachokosekana ni viongozi wake na njia ya kuwapata ni kupitia majukwaa ya mikutano, hali ya kisiasa kwa...
Mikutano ilizuiwa kwamba anchi haikuwa Shwari.
Punde si punde wakairuhusu.
Kuruhusiwa Mikutano, wanaolengwa na CHADEMA.
Haitakuwa mara ya kwanza CCM kurusha bomu kwenye Mikutano ya CHADEMA.
Hivyo wekezeni kwenye Ulinzi na Drone. CCM wana roho mbaya sana...
Baada ya Siku 33 kutoka siku ambayo Waziri wa Mambo ha Ndani Patrobas Katambi kuzuia milutano ya vyama vya siasa, Jeshi la Polisi limesema kutokana na hali ya nchi kuwa shwari, vyama vya siasa vyenye nia ya kufanya mikutano ya hadhara viwasilishe taarifa kwa wakuu wa Polisi wa Wilaya.
Kumbuka...
Watu 23 wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mwanza na kusomewa shtaka moja la kushiriki kwenye mikutano ya kigaidi.
Waliopandishwa kizimbani ni Alphaxad Nyamwaga (57), Fantson Mpango (49), Abely Mwesa (62), Hassan Said (43), Emmanuel Wambura (30), Adam Idd (23)...
Ni maoni yangu kuwa hawa wahuni waliojipachika madarakani inafaa wanapofanya mikutano yao ya hadhara kumalizana hapohapo, je wadau mnaonaje hilo pendekezo? Hapa nataka watu wenye sound mind pekee sio machawa.
Wakati wa vurugu katiba na sheria vinasimama kufanyakazi kusudiwa. Kwenye vurugu na vita hakuna mwenye haki yake, vyote kwa 100% vinapotea ghafla halafu unabakia utawala binafsi, yarabi nafsi yangu. Kama DHAMIRA ya Waziri wa mambo ya ndani, Katambi ni kuzuia haki moja tu ili kulinda haki...
CCM ile ambayo ilikuwa haijachokwa ilikuwa na kiburi sana. Walikuwa hawaogopi chama chochote na walikuwa wanatumia Khanga na nyimbo za John Komba kuwarubuni kina mama ili kupata kura.
Leo hii watamrubuni nani kwa khanga na nyimbo za mipasho?
Mikutano ya chama kikuu cha upinzani imekifanya kiwe...
Vyanzo vyangu vya Taarifa vimejihakikishia hakuna Kunguni yoyote aliyetoka leo baada ya Katazo la Waziri wa Mambo ya Ndani Mheshimiwa sana Patrobas Katambi. Mikutano ya Chuki, Matusi, Uzandiki na Uchochezi hatimaye imekwisha kabisa. Kama ulikua hujui hiyo ndiyo Serikali.
Hii ikimaamisha,
viongozi waliochaguliwa na wananchi wapiga kura tu, ndio wapewe vibali na ruhusa ya kisheria kufanya mikutano ya hadhara na kuchangamana na wananchi waliowachagua kwa mujibu wa sheria. Hao ni pamoja na wenyeviti wa vitongoji, vijiji na mitaa, madiwani wabunge, Marais na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.